Mkuu BONA, bora angekosa upeo lakini mbaya zaidi ni kukosa akilinani alimwambia kua ukiwa mke`wa rais lazima awe anapwayuka ovyo majukwaani hata kama upeo ni mdogo!
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa ndio maana tunashuhudia mapigano kati ya wafuasi wa CCM na vyama vingine! "Mimi sio mama wa Nyumbani" sasa je, nani alikuwa ni mama wa nyumbani pale ikulu? Je, huku sio kumkejeli Mama Maria Nyerere!?
WAMA haiwezi kufanya kazi chini ya serikali ya chama kingine, je si kwamba WAMA haifuati sheria katika kazi zake? WAMA ni taasisi ya CCM na kwa maana hiyo imevunja sheria za kusajili NGOs nchini, waziri mwenye dhamana hii alifanyie kazi hili!
Je, CCM ikianguka ndio mwisho wa WAMA? Hivi hayo maendeleo ni ya wanawake wa CCM tu?
Source: Majira 21/09/2010

nani alimwambia kua ukiwa mke`wa rais lazima awe anapwayuka ovyo majukwaani hata kama upeo ni mdogo!