Mama Salma...Mmemuona???????

Hivi hizo kanga anazo beba kila siku begani ni za nini?
 
Firstlady tunaye.......mbona hata akivaa gunia anatokelezea tu..........amependeza kwa kweli.
 
wataalum wa mavazi tuambieni sasa hapo vp kwa mimi ambae si mtaalum wamependeza.

Design na mshono wa nguo aliyovaa mama salma imekaa kiswazi mno! Nani anamdesignia nguo zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…