Mama Salma Kikwete kufunga kibwebwe kumnadi Magufuli

Mama Salma Kikwete kufunga kibwebwe kumnadi Magufuli

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Wakuu
hatimaye ccm wanapumulia mashine
Baada ya kutajwa mkapa na nape ndio watakao mnadi Magufuli hatimaye jina la mama salma laongezwa kwenye listi ya watu watakao kuwa wanamnadi makufuli baada ya kampeni kuzinduliwa,habari zaidi zinasema wameamuwa kumchukuwa mama salma ili kuwavuta wanawake wenzake ambao amekuwa akiwahudumia na mfuko wake wa WAMA
Wengine waliotajwa kwenye listi ni janet masaburi,mama tunu pinda,na Hawa ghasia

Naona magamba yameishiwa wameamuwa kutumia wamama ambao wameshindwa kujipigia debe wenyewe sembuse ya kunadi mtu.Hao wamama wote Halima mdee anawatosha kabisa
 
Hata kuhamia Chadema ni shinikizo la wafuasi wake.!

Maalim Seif anaijua Vizuri CCM ndo mana siku ile pale Viwanja Vya Biafra alitoa angalizo Rais hapatikani kwa kusindikiza Msafara mkapige kura siku ikifika
 
wakuu
hatimaye ccm wanapumulia mashine
baada ya kutajwa mkapa na nape ndio watakao mnadi makufuli hatimaye jina la mama salma laongezwa kwenye listi ya watu watakao kuwa wanamnadi makufuli baada ya kampeni kuzinduliwa,habari zaidi zinasema wameamuwa kumchukuwa mama salma ili kuwavuta wanawake wenzake ambao amekuwa akiwahudumia na mfuko wake wa wama
wengine waliotajwa kwenye listi ni janet masaburi,mama tunu pinda,na hawa ghasia

naona magamba yameishiwa wameamuwa kutumia wamama ambao wameshindwa kujipigia debe wenyewe sembuse ya kunadi mtu.hao wamama wote halima mdee anawatosha kabisa

ungeweka ratiba ya fisadi ; tungekuona wa maana; mgombea wetu ni fisadi, nyumba ya pili yana kuhusu

nn; ujaenda kambi za bavicha. Ndoroooooooooooooooooooooooooooooooooobo

leo ameshindwa kuhudhulia shughuli ya maziko; sijui kibembe cha kampeni atakiweza

mmemuchukua mjue na kutibisha
 
Wakuu
hatimaye ccm wanapumulia mashine
Baada ya kutajwa mkapa na nape ndio watakao mnadi makufuli hatimaye jina la mama salma laongezwa kwenye listi ya watu watakao kuwa wanamnadi makufuli baada ya kampeni kuzinduliwa,habari zaidi zinasema wameamuwa kumchukuwa mama salma ili kuwavuta wanawake wenzake ambao amekuwa akiwahudumia na mfuko wake wa WAMA
Wengine waliotajwa kwenye listi ni janet masaburi,mama tunu pinda,na Hawa ghasia

Naona magamba yameishiwa wameamuwa kutumia wamamt

tatizo la ukawa bado ni resource..
rasilimali watu na pesa.

ccm wanaweza kutawanya watu wenye impact kila kona ya nchi,kwa wakati mmoja.
wakati hawa wa ukawa wenye majina wanafit katika helcopter moja tu.
ka,peni za SHOCK AND AWE zikianza lazima ukawa watafunikwa tu
 
Maalim Seif anaijua Vizuri CCM ndo mana siku ile pale Viwanja Vya Biafra alitoa angalizo Rais hapatikani kwa kusindikiza Msafara mkapige kura siku ikifika

Na ndio nafikiri aliongea vizuri kuliko wengine; na ni vyema hiyo ikawa moja ya kauli mbiu ya UKAWA na kila mkutano wa kampeni za UKAWA lazima itumike kufungulia na kufungia.
 
Litakuwa kosa kubwa sana la kiufundi endapo Dk. Magufuli au CCM wataitumia familia ya Kikwete kwenye kampeni za urais. Public imeshaichoka hiyo familia. Kuitumia maana yake ni kuwajaza hasira wapigakura na mwisho wa siku zitakuwa kura za chuki kwa CCM. Kama Dk. Magufuli anapita humu JF, namuomba sana asome ushauri huu.
 
Hata aitumie familia ya oboma kibano bado kiko pale pale kwa ccm
 
Na ndio nafikiri aliongea vizuri kuliko wengine; na ni vyema hiyo ikawa moja ya kauli mbiu ya UKAWA na kila mkutano wa kampeni za UKAWA lazima itumike kufungulia na kufungia.

Kuna watu ukiwakumbusha Hilo wanakwambia "Funga mdomo wee! Tushachukua Nchi kabla misa ya kwanza haijaisha",CCM ni kama Drogba ukizubaa kidogo ustuliwa na Filimbi ya Mwamuzi mpira Nyavuni
 
Litakuwa kosa kubwa sana la kiufundi endapo Dk. Magufuli au CCM wataitumia familia ya Kikwete kwenye kampeni za urais. Public imeshaichoka hiyo familia. Kuitumia maana yake ni kuwajaza hasira wapigakura na mwisho wa siku zitakuwa kura za chuki kwa CCM. Kama Dk. Magufuli anapita humu JF, namuomba sana asome ushauri huu.

Wewe JF members ni watu laki mbili na elfu 80 tu
sasa unaposema public unamaanisha watu gani?
umewahi kumuona mama Salma akihutubia kwao Lindi?
usipende kuongelea utashi wako kama reality
kuna wapiga kura milioni 24....
Mama Salma kwao ni very very popular....
 
Wafuasi wa Lowassa wana matumaini ya Ushindi kuliko Lowassa Mwenyewe, na wanauhitaji Urais wa Lowassa kuliko Lowassa Mwenyewe!
nusu na kubaliana na wewe. ila hiyo ya pili hapana. ni kweli kabisa wafuasi wa lowasa a.k.a nyumbu wanamatumaini makubwa ya ushindi kuliko lowasa mwenyewe. lakini hilo la kuhitaji urais nadhani wanafanana. lowasa anautaka sana urais kama wafuasi wake walivyo. lakini hata hivyo wajue hamna mteremko.
 
Wafuasi wa Lowassa wana matumaini ya Ushindi kuliko Lowassa Mwenyewe, na wanauhitaji Urais wa Lowassa kuliko Lowassa Mwenyewe!

lowasa mwenyewe nasikia hana raha kabisa,akijiuliza amejiingiza katika msala gani masikini.....

nasikia pia nyumba yake ya london wanaifanyia renovation ili baada ya uchaguzi akasiitafie kwa amani siasa huko...
 
Hao wote wanacheza, kampeni zenyewe zinaandaliwa na mfuko wa fursa sawa kwa wote wakiongozwa na mama Mkapa chezea Makufuli wewe hana ubia na mtu! Unakumbuka alivyomkana Sitta live kuwa hana ushirika naye, teh...teh...teh...chama kimerudi nyumbani.
 
Litakuwa kosa kubwa sana la kiufundi endapo Dk. Magufuli au CCM wataitumia familia ya Kikwete kwenye kampeni za urais. Public imeshaichoka hiyo familia. Kuitumia maana yake ni kuwajaza hasira wapigakura na mwisho wa siku zitakuwa kura za chuki kwa CCM. Kama Dk. Magufuli anapita humu JF, namuomba sana asome ushauri huu.

Waache bana usiwashtue.
 
Back
Top Bottom