Mama Salma Kikwete kufunga kibwebwe kumnadi Magufuli

Uwiiiiii.....MAKAWA yanahaha jamanii...tumbo jotoo....mtaisoma CCM ya JK mwaka huu..
 
Alizunguka nchi nzima kumfanyia kampeni mume na kura hazikutosha wakaamua kuiba halafu leo hii amfanyie kampeni MAGUFULI je kura zitatosha kweli?
 
Wewe JF members ni watu laki mbili na elfu 80 tu
sasa unaposema public unamaanisha watu gani?
umewahi kumuona mama Salma akihutubia kwao Lindi?
usipende kuongelea utashi wako kama reality
kuna wapiga kura milioni 24....
Mama Salma kwao ni very very popular....

Kwa hiyo amechaguliwa kwa ajili ya kumnadi kule lindi tu basi? Unakumbuka alipowaambia kwa kizungu "I.m disapaointed with you" wakati wale wa bibi hata darasa la kwanza hawajaenda!
 
Kwahiyo kwa akili yako ushindi kwa ccm ndiyo nchi itakuwa salama?wacha kutudanganya na kujidanganya na kukumbatia mawazo ya zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti wa chama
sasa hivi kunamgao wa umeme karibia kila kona ya nchi. lakini msemaji wa tanesco amesema ile gesi ya mtwara imefika bongo, kwa hiyo wanachofanya ni kutest wanawasha mtambo mmoja wanaangalia kama hauna shida wanajaribu mwengi. mpaka watakapomaliza yote. ila hawawashi yote kwa pamoja. sijui kama utanielewa lakini. labda kama wewe sio nyumbu.
 
Wewe naamini akili yako ni zaidi ya ngili
 
salma kikwete.jpg wanavyopenda kunyenyekewa wataweza kuvumilia kupigwa vijembe na ester bulaya, halima mdee?
 
Back
Top Bottom