Katika harakati za kampeni First Lady Mama Lowassa ameonekana shujaa na kumfunika mama Magufuli kwa kiasi kikubwa sana.
Kwanza anapambana mikoani kumtafutia lowassa kura kwa wananchi.
Pili anaonekana kwenye public mara nyingi zaidi na akionyesha uwezo wa kutoa speech za ukweli.
Nimejiuluza vipi Mama magufuli?
Anaumwa au ni mtu wa aibu?
Hajaonekana popote akimwombea mme wake kura au wanabifu?
Vipi kama ameanza kuonyesha udhaifu kwenye hatua hizi za mwanzo u First Lady atauweza?
Hongera sana mama Regina Lowassa uwezo wako umeonekana wazi wewe ndio viatu vya Mama Salma kikwete vitakutosha.Tena upo uwezekano hata yeye ukamshinda kwa weledi.