Mama Regina Lowassa

Mama Regina Lowassa

DxR

Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
71
Reaction score
39
Mwanamke mwenye mvuto, anayejiamini

Mtetezi na msemaji wa Wanawake

Mtetezi wa Walalahoi

Anayekubalika kila kona
 

Attachments

  • 1441430617914.jpg
    1441430617914.jpg
    13.9 KB · Views: 1,890
  • 1441430671370.jpg
    1441430671370.jpg
    11.3 KB · Views: 1,712
  • 1441430698496.jpg
    1441430698496.jpg
    10.7 KB · Views: 1,666
Kipindi cha kampeni wanapanda daladala,kipindi cha kampeni wanaenda gengeni
 
Huyu mama ni mama wa ukweli, alinifurahisha sana kwenye speech yake alipo ongea na wanawake na kusema "matatizo ya wanawake nayajua INGAWA SIO YOTE" kwa hili alinikosha sana ni kweli hawezi yajua yote kama kujifungulia sakafuni, kukosa karo ya watoto, kukosa huduma nzuri za kijamii. Kuna yule wa kijani yy anajinadi tu "mimi ni mama wa watoto wanne matatizo yote ya wanawake nayajua":A S-confused1::A S-confused1: yote? kweli. Too much unafiki, hafai hata kidogo huyu mgombea mwenza wa magufuli muongo mkubwa. Kachezea hela kwenye bunge la katiba ambazo zingesaidia huduma bora za kina mama na katiba hakuna, shenz..............y.
 
Kipindi cha kampeni wanapanda daladala,kipindi cha kampeni wanaenda gengeni

Ni wakati wa kupata maoni zaidi ya watanzania, ndio maana wanawafikia, we vipi? alikaa nyumbani makundi ya watu yakamfuata mkasema amewanunua, mkamkata. Sasa anawafikia watu mnaona nongwa kweli hawa watu wamewavurunga ccm.
 
Vp wa magufuli mbona hajitokezi kumsapot mumewe au hajiamini. Kafunikwa pabaya
 
Katika harakati za kampeni First Lady Mama Lowassa ameonekana shujaa na kumfunika mama Magufuli kwa kiasi kikubwa sana.
Kwanza anapambana mikoani kumtafutia lowassa kura kwa wananchi.
Pili anaonekana kwenye public mara nyingi zaidi na akionyesha uwezo wa kutoa speech za ukweli.
Nimejiuluza vipi Mama magufuli?
Anaumwa au ni mtu wa aibu?
Hajaonekana popote akimwombea mme wake kura au wanabifu?
Vipi kama ameanza kuonyesha udhaifu kwenye hatua hizi za mwanzo u First Lady atauweza?
Hongera sana mama Regina Lowassa uwezo wako umeonekana wazi wewe ndio viatu vya Mama Salma kikwete vitakutosha.Tena upo uwezekano hata yeye ukamshinda kwa weledi.
 
Back
Top Bottom