Mama R. Lowassa akiwa Babati Mjini

Mama R. Lowassa akiwa Babati Mjini

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Mama Lowassa akibadilishana mawazo na wamama na vijana wa mji wa Babati...
1.jpg 2.jpg 3.jpg 4.jpg
 
Huyu Mama!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ni hatari sana.

I wish angelikuwa ni first lady kwa miaka 20 iliyopita, wanawake wa Tanzania wangelikuwa mbali sana.
 
unajua anachokifanya huyu mama maccm hawajastukia,anakusanya kura taratibu na za uhakika,wakati maccm wana magufuli na yule kilaza samia,ukawa wana lowassa,babu duni na huyu mama...mama anashambulia ardhini kimya kimya,maccm yakijastuka itakuwa too late...
 
Nimeamini....kosea kila kitu usikosee Kuoa

Hongera Lowasa hapa una mke

Ndio maana una mafanikio
 
Nimeamini....kosea kila kitu usikosee Kuoa

Hongera Lowasa hapa una mke

Ndio maana una mafanikio
ni kweli kabisa mwanamke mwema huongeza kuing'arisha nyota ya mumewe.

sasa sisi tuliooa vimeo kila siku kesi kwa mjumbe, mara vituo vya Police, mara nguo zimelowekwa bila taarifa, mara tumefungiwa ndani na funguo kufichwa - kazini tunazuiwa kwenda, siasa marufuku - yaani ni taabu tupu hapa duniani- ni matatizoo!!
 
Nimeamini....kosea kila kitu usikosee Kuoa

Hongera Lowasa hapa una mke

Ndio maana una mafanikio

Vipi jirani ile michepuko yako 7 umeshajua yupi ndie sahihi?
Hehehee
 
Back
Top Bottom