Mama N'tilie

Wimbo alioimba unajua ni upi? Hapo nimeweka maneno tuu ya wimbo alioimba je tune yake umeisikia hata uhukumu kuwa wimbo huo ni wa juzi tuu..... waza tena upya.
Wewe dada umepost sana thread za mahaba kwenye JF, umri wako eti miaka 25 ulikuwa O level siyo kweli.
Unapost ujumbe wa mahaba wa kutunga ili kupata kick humu jamvini.
Any way, unajua kutunga umbea
 
Wimbo alioimba unajua ni upi? Hapo nimeweka maneno tuu ya wimbo alioimba je tune yake umeisikia hata uhukumu kuwa wimbo huo ni wa juzi tuu..... waza tena upya.
Maneno uloweka ni wimbo wa dot com
 
Wewe dada umepost sana thread za mahaba kwenye JF, umri wako eti miaka 25 ulikuwa O level siyo kweli.
Unapost ujumbe wa mahaba wa kutunga ili kupata kick humu jamvini.
Any way, unajua kutunga umbea

Hehehehehe siku ingine usikimbilie kuandika kabla hujahakiki maandishi. Rudia tena kusoma upya sentensi hapo juu. Miaka 25 nyuma nilikuwa nimemaliza kidato cha nne likizo ya kusubiri kuingia kidato cha tano. Haya fanya hesabu rahisi tuu mwaka huu 2016 toa hiyo miaka 25 nyuma utapata nilikuwa na miaka mingapi. Hesabu za hivi hukuzipitia kujifunza au kufundishwa?
Wenzako huwa wanauliza pale ambapo hawajaelewa na si kuhukumu sivyo.

Hizo kik mnahangaika nazo nyie mie sinaga wakati huo na wala hazinisaidii hata.
 
Maneno uloweka ni wimbo wa dot com

Kama maneno huwa yanapigiliwa misumari haya sina la kukwambia, uhalisia wa Kasie utabakia kuwa uhalisia kama ilivyo tokea iwe unataka au hautaki au unakubali au unakataa mie niliimbiwa hivo.
 
Aseee
 
Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…