Mama N'tilie

Hahahahahaa weeweee

Shangazi ameshastaafu hafanyi tena biashara hizo ni mzee sasa analelewa na watoto wake.

Basi siku ukipata likizo nenda kamsimlie hicho kisa atacheka sana.

ila bora yule jamaa akakushkisha dudu. labda ungekuwa bado huijui.

unapaswa sasa umtafute akupe uichezee kabisa.

umwambie saivi naijua vizuri hunibabaishi tena ukitaka nakupiga tatu bila
 

Hahahaha watu wananimbiaga mie mchokozi ila wewe mchokozi namba moja hehehehe

Shangazi siwezi kumwambia labda niwasimulie watoto wake. Hata sikimjua anaitwa nani hivo hata nikirudi kumtafuta si rahisi kumpata. Skazi ukaambiwa ametangulia mbele ya haki...
Hehehe tatu bila ndo za Kasie hizo looh
 

he he he kwa vile shangazi kazeeka sasa nenda umchekeshe siku moja.

kwa hiyo ni mtaalamu wa tatu tatu? unatishaaa. kwa hiyo ukipigwa mbili tatu unaweza sema game irudiwe?
 
he he he kwa vile shangazi kazeeka sasa nenda umchekeshe siku moja.

kwa hiyo ni mtaalamu wa tatu tatu? unatishaaa. kwa hiyo ukipigwa mbili tatu unaweza sema game irudiwe?

Kabisaa hapo mechi ya marudiano inaweza kupangwa. Si unajua wabeba na kuhimili mizigo ni watu gani.....?
Shangazi hapana aiseeh anaweza akaona nilianza uhuni mapema hata kama ni historia kumbe Waaalaaah
 
Kwenye huu muziki umedanganya maana ni wa juzi tu.
 
Kwenye huu muziki umedanganya maana ni wa juzi tu.

Wimbo alioimba unajua ni upi? Hapo nimeweka maneno tuu ya wimbo alioimba je tune yake umeisikia hata uhukumu kuwa wimbo huo ni wa juzi tuu..... waza tena upya.
 
Nina uhakika fada Kasinde angeshika kibamia wala asingemkumbuka yule mkaka..maskoni kaenda A level bila hata kuliona
Hahahaaaa sasa sikuwa najua kibamia ni kipi na hogo ni lipi hadi baadae. Leo nimekumbuka kwasababu kuna kitu nimekumbana nacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…