Jamani mm ni Kijana mwenyewe umri wa miaka 22 nafanya kazi udereva ambayo naendesha gari ya kigogo mmoja hapa Dar es salaam......Napata mitihani mingi ikiwemo huu ambao unanisumbua kweli kweli Mke wa Boss wangu ananisumbua sana akidai ana nitaka niwe mtu wake wa siri na kasema yupo Tayari kunipa kitu chochote ntakacho kitaka Maishani mwangu
Nakasema ingawa nikikataa atanitafutia kesi yoyote na kunifunga au atamwambia mmewake kuwa mm namtaka na mume wake kwa mkewe aelewi kitu chochote na nimafia mwanamke ndo kwanza asikii anasema kuwa yeye ajali anchotaka ni penzi langu sijui nifanye nn ndugu zangu na kazi nataka na mitihani ndo hiyo!!!!!
Myekoro