F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Nov 5, 2013 #2 Hao baba hawajui uchungu wa mtoto....yaani acha tu
Paul Mchumi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 1,043 Reaction score 1,279 Nov 5, 2013 #3 farkhina said: Hao baba hawajui uchungu wa mtoto....yaani acha tu Click to expand... Wana hatunaga time sie mawazo kwenye pesa kwanza....
farkhina said: Hao baba hawajui uchungu wa mtoto....yaani acha tu Click to expand... Wana hatunaga time sie mawazo kwenye pesa kwanza....
Sista JF-Expert Member Joined Sep 29, 2013 Posts 3,208 Reaction score 1,038 Nov 5, 2013 #4 Kuna wababa wanajituma wanalea kama wamama. RIP mine
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Nov 5, 2013 #5 mh,wababa hatupohivyo jaman mnatuonea....
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,976 Reaction score 13,435 Nov 6, 2013 #6 acha kutukandia kiongozi,hakuna baba duaniani anayeweza kufanya mambo haya labda wale mababa wa mabox. Nalog off
acha kutukandia kiongozi,hakuna baba duaniani anayeweza kufanya mambo haya labda wale mababa wa mabox. Nalog off