Mama ni mama kwanini unamdharau?

Heshima kwa mom bt my dia ladyfurahia sio kiume tu wenye jeuri kwa mama zao wengine wakike kabisa kama sio wanawake wana midomo michafu kwa mama zao unaweza ukasahau ulikokuwa unaenda bt al in al I lov my mom she's my world alinifundisha kuheshimu wengine pia na kujua thamani ya mwanamke naitwa mom now so najua na nakiri hakuna kama mama or kama mimi
 
bora bestito umeongea wewe maana ningeongea mm hapo ningeharibu hali ya hewa hapa sijamsema baba vibaya na ndo maana nimemuweka baba yangu wa jf hapa watu8 na kusema kuwa nampenda hii yote naonesha umuhimu wa wazazi pande zote mbili sijagusia kivingine huyu naona anatumiwa ili aharibu thread hii achana nae
ndo wanaowadharau wazazi wao wakiwa nyuma ya kioo hao
 
Last edited by a moderator:
nanguzumizia vijana wote hata kama ana miaka 70 kwa baba na mama yake anabakia kuwa mtoto tu na heshima iwepo hata kama wazazi ni vibogoyo
Unazungumzia vijana wa rika gani? Coz hata a 35yrs old dude is considered kijana..!
 
ni kweli bestito ni wote vijana wakike na kiume ila katika utafiti wa sasa wengi wanaoongoza kudharau wazazi wao na kutokuwaheshimu ni vijana wa kiume na wako baadhi ya vijana wa kike wana midomo ya dharau na walioshndikana kabisa
 
Hata ukikumzidi uzuri.....mama ni mama tuu mpende mama yako
 
Nimekumisije mpenzi asante kwa ujumbe murua mamito.
 
nanguzumizia vijana wote hata kama ana miaka 70 kwa baba na mama yake anabakia kuwa mtoto tu na heshima iwepo hata kama wazazi ni vibogoyo

Then i reserve my comment..
Nikidhani unaongelea vijana ambao ndio wanaanza kujitambua, "adolescence" group!!!
 
Nashukuru kuniita. Kama wapo vijana wa hivyo waabadilike.
Mie watoto wangu ni rafiki zangu wakubwa.
 
Brain washed creatures. Mnaomdharau baba ambaye MUNGU amemfanya kichwa cha familia mnamkosea MUNGU. Hangaikeni na mama peke yake wakati huyo mama anamtegemea huyo baba.

mkuu acha kukurupuka thread inahusu mama. ukitaka ya baba anzisha ya kwako tutakuja kuchangia...lakini hapa ni mama tu
 
cousin umenena,mama ni mama
yeyote amdharauye mama
mwisho wke mbaya!
 
Wazazi wawili wanahitaji kuheshimiwa sana na kulakiwa.

Pamoja na yote Mama anahitaji kupewa kipaumbele cha hali ya juu.

Kwa lolote au chochote hakuna utakachoweza kumlipa Mama, Mama jamani Mama ni mzazi pekee ambae yuko tayari akose usingizi lakini wewe mtoto upate usingizi, yuko tayari ajifanye mwenye furaha tele hata kama ana majonzi ili yote wewe mtoto uwe na furaha, yupo tayari akuuguze pale unaposhikwa na maradhi na kukosa usingizi kwa ajili ya wewe mtoto hata iwe miezi mitatu Mama hatochoka wakati huo wengine wote wanakuwa wanakuombea mgonjwa utangulie mbele ya haki lakini Mama atakuwa radhi hata kwa miaka mitatu atauguza tu.

Mama yupo tayari kutumia hadi shilingi yake ya mwisho kwa ajili ya wewe mtoto.

Jamani Mama, wazazi wangu Mungu aendelee kuwatunza
 
Nawapenda wazazi wangu wote. Mungu wabariki kina mama wote duniani, Uwarehemu wale waliotangulia, na watunze kina mama watarajiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…