Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,569
ππππBila shaka utakuwa umevuta bangi
Enzi?????Nakumbuka enzi hizo nimemuangalia sana
Ndiyo mkuu, πΆubongo kids ubongo kids, talalala talalalaπ΅Mkuu unaangalia ubongo kids?
Kwan kuna nyingine?????Katika katuni bora kabisa za Kiswahili Ubongo Kids ni #1
Mambo ya hisabati[emoji16] Mimi namkubali sana anko T jinsi anavyo chanaHuyu character huwa ananifurahisha sana, ana mbwembwe kupita kiasi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 941936View attachment 941937View attachment 941938
Uko sahihi sana mkuu.Huu uzi wa ma house girl na ma house boy, especially wale wanaolea watoto.
Enzi hizo??zipi hizo??Nakumbuka enzi hizo nimemuangalia sana
Jamaa huwa anachana hadi anatoka nje ya biti, anarudi tenaπππππMambo ya hisabati[emoji16] Mimi namkubali sana anko T jinsi anavyo chana
HahahahahaEnzi hizo??zipi hizo??
Mzee waJamaa huwa anachana hadi anatoka nje ya biti, anarudi tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndiyo tunaruhusiwa mkuu.Hiv JF wanaruhusu pupils kujisajili...naulza2