Mnastar jr
Member
- Dec 29, 2016
- 99
- 53
Kwa huu Uandishi bora urudi darasa la Nne..........Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (wazili)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasila nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Wazili wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba
Huyu ni vyema arudi la kwanzawasomi wa Tanzania mnatia hasira mnaposhindwa kuandika kiswahili fasaha
Wazili??
Hasila??
madalakani??
Kwani unavyojua kimajukumu anapaswa kufanya nini ?Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (wazili)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasila nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Wazili wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba
Saumu inakumaliza. Acha kufunga huku hujui kwa nini salalahu alifunga. Inasemekana wanamgambo waliingia kipindi cha njaa sasa salalahu akapata idea ya kufunga ndo kafungisha watu saumu na usiku wanamgambo wanavamia vijiji na kuiba ndo wanakula usiku kwa usiku.Najua kawaida ya mtz hua anaangalia doa dogo lililopo ktk karatasi kuliko sehem kubwa ambayo haina doa,, Sifanyi kazi BAKITA wakuu
Mkuu hivi hatuwezi kujadili hoja hata kama ni ya kijinga bila kuhusisha wazazi wetu? Sijawahi kuona kwenye post zako unaandika upuuzi kama huu.Kwani wewe kuzaliwa kwako Babako alifanya kipi cha maana? Kwa maana ameongeza mzigo tu nchini!
Hujui kuandika nyau weNajua kawaida ya mtz hua anaangalia doa dogo lililopo ktk karatasi kuliko sehem kubwa ambayo haina doa,, Sifanyi kazi BAKITA wakuu
Ndo ngazi ulioishia la 7 its gud keep it upMtu kaishia std 7 anasema alifika form VI, acha uongo
Ndicho unachokiwaza akilini mwako sikupingi ata kuwa na iman hyo tuUmefikaje form six wewe... Hivi huko shule mnafundishwaje siku hizi!?
Yani wewe ni std 6.
unajua kuandika bweha weHujui kuandika nyau we
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (waziri)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasira nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Waziri wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba