Mama Ndalichako kafanya nini cha Maana

Mnastar jr

Member
Dec 29, 2016
99
53
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (waziri)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasira nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Waziri wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba
 
kaahidiwa bilioni 40(chukulia mfano) kwenye wizara yake kwenye bajeti

ila iliyomfikia ni bilioni 8 unadhani atafanya kipi cha maana?

kaulize huko kwenye shule za serikali kuna kitu kiliitwa ukaguzi wa kanda leo tangu awamu ya tano ianze sina uhakika kama ukaguzi wa aina hiyo umefanyika

au unachuki zako binafi tu...!!!!
 
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (wazili)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasila nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Wazili wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba
Kwa huu Uandishi bora urudi darasa la Nne..........

Waziri

Wazili
 
Huyo n bunuaz kama
Bunuaz wengine

Uliona wap mwanasiasa
Anaejielewa
 
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (wazili)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasila nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Wazili wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba
Kwani unavyojua kimajukumu anapaswa kufanya nini ?
 
Umefikaje form six wewe... Hivi huko shule mnafundishwaje siku hizi!?
Yani wewe ni std 6.
 
Najua kawaida ya mtz hua anaangalia doa dogo lililopo ktk karatasi kuliko sehem kubwa ambayo haina doa,, Sifanyi kazi BAKITA wakuu
Saumu inakumaliza. Acha kufunga huku hujui kwa nini salalahu alifunga. Inasemekana wanamgambo waliingia kipindi cha njaa sasa salalahu akapata idea ya kufunga ndo kafungisha watu saumu na usiku wanamgambo wanavamia vijiji na kuiba ndo wanakula usiku kwa usiku.
 
Wakuu habari zenu!;Hili jina(Ndalichako) nlitokea kulifaham Kiundani na kusmbua akili yangu nkiwa Form Six nikijiandaa na mitihani baada ya kutuchanganyia madesa !!Hivi tangu Awe madalakani (waziri)wewe umeona kafanya nin cha maana??
Tuulzane kuna wakati napataga hasira nikiskia tu jina!!Am sorry kwa fans wake ni Waziri wetu kweli Ebu orodhesha hapo vya maana alivofanya !!Twende sambamba

Nachukia sana Mtanzania na ambaye Kiswahili ndiyo lugha yao adhimu nikiona anakosea maneno au kuandika halafu Mimi Mgeni ( Mnyarwanda Mtutsi ) GENTAMYCINE nakijua vizuri sana Kiswahili chenu. Katika Kiswahili fasaha kabisa hakuna neno ' Madalakani ' bali kuna neno ' Madarakani '.

Sasa kama Wewe tu mwenyewe umekosea / umekengeuka hivi kuandika kwa Kiswahili je unadhani hoja zako ulizoziweka dhidi ya Waziri Msomi kabisa Professor Mama Ndalichako zitakuwa na mashiko? Huoni kwamba pengine kabla ya kututaka sisi tuanze kumjadili huyo Waziri yatupasa tuanze Kwanza kuujadili uwezo wako wa IQ ya mapungufu yako yaliyotukuka ambayo yameanza kujionyesha mapema tu katika moja ya aya ( paragraph ) ya uzi wako?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom