mama namtoto

magdarena

Member
Jun 21, 2012
58
23
Siku moja kuna watoto walikwenda katika bustani yakanisa wakapanda juu yamiti ili kuangua matunda. Wakati wapo juu yamti mmoja kati yaowatoto wakike alikua hajavaa nguo yandani. Sasapadri akawa anapitakuangalia bustani akawaona hao watoto wakiwa juu yamti nandipo alipomwona yule ambae hajavaa chu***. Padri akamwita kwaupendo akamwambia ashuke. Mtoto aliposhuka padri akamwuliza mbona hujavaa nguo yandani? Mtoo akamwambia sina mama hana hela yakuninunulia. Pandri akatoa sh 5000 akampa akamwambia nenda kanunue.mtoto akatoka mbio hadi kwamama yake kumwonyesha ile hela ili akamnunulie chu**. Mama kuona vule akawaza kama mtoto kapewa 5000 misinitapewa zaidi! Nae akavua yake nakwenda kupanda juu yamti kulekule bustanini. Mara padri akatokea. Akamwona yule mama hana ch**. Padri akamwambia ashuke. Mama akajua dili lake limefanikiwa. Aliposhuka padri akampa sh 50. Akamwambia nenda kanunue kiwembe unyowe hayo mav****. Mama akaondoka huku anaona aubu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom