Mama na mwanae

Jagood

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
2,137
2,385
34286374_2063714530508524_2884492691599523840_n.jpg
 
Kukaa na mtoto muda wote ni raha sana ila akikata gogo dahhh mama yake atatafutwa sana tu
 
Teh teh teh hata mimi baba inanitokea sa namtorika mtoto wangu niende kwa *****.
 
Dah, Mwananchi mmoja wapo yeye ilikua Ile mida ya kulala lazima azingue, Yaani Hataki kabisa Ukae, anataka umweke begani usimame yeye alale wewe usimame!!

Mama mtu nae kachoka anakwambia Hebu mchukue na wewe, unabembeleza weee unajua amelala tayari, unamlia timing mdogo mdogo unamweka kitandani hapo ni saa nane Usiku, ile akigusa shuka tu, Bonge la kilio tena, Dah! Unaamka unaanza kubembelezana tena!! Duh asubuhi Unaondoka kwenda kwenye mihangaiko dogo yeye anakoroma tu!!! Mkeo anakua kama Dada yako, utamgusa saa ngapi wakati dogo analia? Aiseeee
 
Hapana
mama sio 1st selection. Change your attitude towards it.
Nisikufiche, siwezi.

Mfano hata namna ninavyomnawisha mtoto aliyekata gogo ni kuandaa maji yenye sabuni kwenye besenI na kumnawisha na kumuogesha kisha kumsuuza wakati mama yake atamsimamisha kwenye beseni au ndoo na kumnawisha.

Hua najifunza mida ya mtoto kukata gogo na attitude yake kabla ya kukata gogo ili nijue mida ya kumuacha kwa mama yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom