Mama na mke nani mkali

Mama na mke nani mkali

KOMBONEA

Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
19
Reaction score
3
CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70 hivi,,,ukiamgalia huyu mke atakuwa amekaaa na mke kwa mda wa miaka 35/45 zaidi ya mamamzazi,,,NANI MKALI HAPAAA WADAU?:mimba:
 
kila mtu ni mkali kulingana na nafasi yake.....angalia nafasi ya mama kwako wewe mtoto na angalia nafasi ya mke kwako wewe mume.....
 
CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70 hivi,,,ukiamgalia huyu mke atakuwa amekaaa na mke kwa mda wa miaka 35/45 zaidi ya mamamzazi,,,NANI MKALI HAPAAA WADAU?:mimba:

Nani mkali? unamaana gani mwenzetu?
ukali wa aina gani?

Kila mtu maishani mwako ananafasi yake, mtu huwezi kufananisha mapenzi ya mke na mama.
Au mapenzi ya mume na baba.
Kuishi na mtu maisha marefu si sabababu ya kumkana ulieishi nae maisha mafupi ikiwa tu alikutendea mema maishani.
Mungu katumba tusiishi na wazazi hadi kufa kwetu, katuumba tuwe na familia zetu. Kina mama wengi wanapenda kushindana na mke wa mtoto wake wa kiume, mama wa dizaini hii ni ku muignore tu basi na kupeleka mshitaka kwa mungu alie kuumba. Mama sio mungu kwaiyo hana mamlaka yeyote kwako ukubwani inabidi akuheshm ili na wewe umuheshm.

Tena uweke mikata hasikucontroll na kukuamualie maishani utapotea. Dunia ya sasa si ya zamani, so akingia kabulini kabla yako atakuamulia pia akiwa huko?
 
jaman hapo ni sawa lakin,,hivi ni nani hapo aliyekaa na mme kwa mda mrefu? na kumbuka kuwa mchango wa aidha kimaendele au vinginevyo huwa 3/4 siinachangiwa na mwanamke?😎
 
mimi kiswahili mwenyewe ckifahamu vzr ndg,,labda kwa kukusaidia njoo hapa udsm kuna IHKS
 
Bila mama ungekuja ww duniani mama ucmlinganishe na lolote
 
Mama ndio mkali, maana hapo lazima ulikuwa ukikosea anakuchapa sana tofauti na mke yeye ukikosea anaweza kupata hasira na asikufanye lolote.

Ndo neno "ukali" nilivyolielewa.
 
Heheh...napita maana hata sielewi mleta mada anahitaji tudiskasi jambo gani...
 
CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70 hivi,,,ukiamgalia huyu mke atakuwa amekaaa na mke kwa mda wa miaka 35/45 zaidi ya mamamzazi,,,NANI MKALI HAPAAA WADAU?:mimba:
kuna mtu alisema kati ya anayekubeba mgongoni na anayekubeba kifuani nani mkali, lakini ukweli unabaki palepale mke unaweza kubadili ukaoa mwingine lakini mama huwezi pata mwingine popote. Kila mmoja ana nafasi yake:der:
 
CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70 hivi,,,ukiamgalia huyu mke atakuwa amekaaa na mke kwa mda wa miaka 35/45 zaidi ya mamamzazi,,,NANI MKALI HAPAAA WADAU?:mimba:

Ala kumbe ni mfano..!halafu ni quiz..!
 
CHUKUA HII,,Kijana wa kiume anakaa na wazazi wake kwa mda wa miaka 25/27 akaoa,,sasa muda wote wa kuishi anayemjulia hali kwa karibu ni mkewe siyo mamake tena..Wamekaa na kuishi miaka 60/70 hivi,,,ukiamgalia huyu mke atakuwa amekaaa na mke kwa mda wa miaka 35/45 zaidi ya mamamzazi,,,NANI MKALI HAPAAA WADAU?:mimba:

kwa dau la shi'ngapi mkuu..
 
Mtoto kwa mama akui!
Hata ukioa mamako bado ataendelea kukujulia hali na kuona unaenda vizur.
So iyo miaka 35/45 ya kuish na mkeo pia wazaz wako wako hapo. Ndo mana mkitibuana kesi huwa zinaishia kwao!
Dizain we bado dent hujaanza maisha mana hiz stor ni za kident.
Kuwa uyaone mdogo wangu...!!.
 
sidhani kama mtu aliyekuona ukubwani anaweza kuwa mkali,mkali yule aliyetoa shombo zako zote.
 
Back
Top Bottom