Amuache upesi. Hatakiwi kufikiri mara mbili. Kwa level ya Imani yake akikaa vibaya anajikuta mlango wa kutubu imefungwa. Dhambi ya kumkufutu Roho Mtakatifu. Aondoke hapo Leo hii hii, labda Bwana atamrehemu. Aangalie asije kuwa kama Wana wa Israel jangwani, walishuhudia yote na bado hawakuingia kwenye Raha ya sabato Kwa kutokuamini kwao. Amuache sasa hivi. Autafute uso wa Bwana sasa hivi. Shetani akijua anamtafuta Bwana atamuua ili abaki kwenye dhambi zake. Asifikirie kuhusu ndoa, ikiwa Bwana atamrehemu basi atampa ndoa. Wokovu ni zaidi ya vyote!Jamaa ametambua hilo ndio maana anataka kutubu, ila akaomba nimshauri kabla ya kumuacha huyo mama na mimi nikaja hapa kutafuta mawazo mazuri ya kumsaidia.
Ushauri mzuri, NitamfikishiaAmuache upesi. Hatakiwi kufikiri mara mbili. Kwa level ya Imani yake akikaa vibaya anajikuta mlango wa kutubu imefungwa. Dhambi ya kumkufutu Roho Mtakatifu. Aondoke hapo Leo hii hii, labda Bwana atamrehemu. Aangalie asije kuwa kama Wana wa Israel jangwani, walishuhudia yote na bado hawakuingia kwenye Raha ya sabato Kwa kutokuamini kwao. Amuache sasa hivi. Autafute uso wa Bwana sasa hivi. Shetani akijua anamtafuta Bwana atamuua ili abaki kwenye dhambi zake. Asifikirie kuhusu ndoa, ikiwa Bwana atamrehemu basi atampa ndoa. Wokovu ni zaidi ya vyote!
Hakuna mahali kwenye maelezo alipomkufuru Roho mtakatifu.Dhambi ya kumkufutu Roho Mtakatifu.
Stori hizi za kwenye movie.Aliyesema ikimbie zinaa hakukosea. Ona sasa namna shetani alivyokudaka vizuri. Yupo pembeni anakucheki maana hutaki ndoa ivunjike na pia uhusiano wako na Mungu umekufa. Tubu, Tubu,Tubu. Nenda Kwa Mungu Kwa toba kamili, muombe na njia ya kutatua. Hao wote ni maagenti. Haiwezekani Mchungaji amruhusu wake akaliwe nje. Je Imani yake Kwa Mungu wa Ibrahim ipo wapi?
Mkuu,Duh..... Ukisikia drama ndo hizi, Script kbs Ya Kuwapelekea Bongo muvi...!
Ndo Maana Wakatoliki Mapadre Hawaoi....!
Unajua dhambi inapelekea Uovu, ivyo inabidi akubaliane na matokeo tuu chochote kitakacho kujambele yake lakini ni vyema kufanya Sasa kuliko baadaeTrue. Ndio maana anataka aache ili atubu. Tatizo ni vitisho ndio maana akaniomba ushauri na mimi nimeomba kwenu ili kupata mawazo productive.
Pole maana bado uhusiano wako na Mungu ni mdogo mno. Ndo maana unasema hivyo. Mungu anao watu wake 7000 wasio piga goti wala kumwabudu baali.Stori hizi za kwenye movie.
Huyo mwanaume hayupo
Kuna level ukishafanya na Roho Mtakatifu ukiasi unamhuzunisha. Adhabu yake ni kama iliyowatokea kina Musa. Umeshawahi jiuliza shetani alitoa wapi guts za kuung’ang’ania mwili wa Musa? Na kwa nini kizazi chote kilichotoka Misri ni watu wawili tu ndo waliingia Canaan? Anasema wazi walimhuzunisha Roho yake. Hataji Mungu, au Yesu, anataja Roho yake Takatifu. Adhabu, kizazi chote kikaanguka kama mzoga njiani. Level zinatofautiana.Ushauri mzuri, Nitamfikishia
Hakuna mahali kwenye maelezo alipomkufuru Roho mtakatifu.
Unaweza kumruhusu mkeo akalale na mwanaume mwingine?Pole maana bado uhusiano wako na Mungu ni mdogo mno. Ndo maana unasema hivyo. Mungu anao watu wake 7000 wasio piga goti wala kumwabudu baali.
Ndo maana anasema watakatifu wangu waliopo duniani ndo aliopendezwa nao!
Ulianza vizuri ila hapa ndio ukaamua utupikie chaiTukabaki ndani wawili tu, P Akaniambia ana hamu, basi nika chungulia nje nikaona wako kwenye mabanda ya mbuzi, kuku na sungura huko wanashanga shangaa. Nikamwambia avue pichu aweke kwenye handbag yake akae bila pichu ili iwe rahisi, basi nikamkunja hapo kwenye sofa, nikala mzigo safi tu na akamwaga kama kawaida yake.
Kashakufa kiroho anatakiwa atubu ten madhabahuni.Mambo ya Walawi 20:10 (Biblia Takatifu) “Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.”
Inatosha kusema kifo kinakuhusu Baba wa Imani
Very interesting comment 😂.Nakushauri kaa na mke wako umweleze kuwa mama mchungaji na baba mchungaji wameniomba nisaidie kupata mtoto maana vipimo vinaonyesha kuwa baba mchungaji hawezi bebesha mimba
Sasa mama jesca unashaurije maana. Wana mali lakini hakuna wa kurithi