Nilipohamishiwa
kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie
kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye
kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.
Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana
watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.
Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila
nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe
anakuja amefunga kanga tu.
Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku
nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula
nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule,
nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV
nikawasha.
Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia
ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si
akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja
hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda
sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo
kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!!
sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho
unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina
hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama
ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27
nikasema hapana.
Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho
yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?
Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo
wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao
na tunaheshimiana sana.
wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.
nifanyeje?