Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,673
- 6,752
Wakati uyo mama anakuonyesha dalili za kukutaka na mkeo nae anamuonyesha baba mwenye nyumba dalili za kumuitaji kwa iyo bila bila,tombeaneni tu.Wakuu
Hapa nilipopanga naona nimepata jaribu kubwa
Siku za hivi karibuni mama mwenye nyumba hapa amekuwa akinionesha dalili za wazi kabisa za kuhitaji huduma yangu licha ya yeye kuwa na muwe wake nami pia nina mke wangu
baadhi ya viashiria nilivyovibaini mpaka sasa, kwanza ananitumia meseji zenye mitego sana yaani ata haziendani na umri wake
tunapokuwa nyumbani hapa unakuta tunapishana ananikonyeza
Zaidi hapa ndio nimeamini kabisa huyu mama ananitaka kwa namna yoyote ile leo hii, alikua anakusanya pesa Tsh 15000 kwaajili ya umeme lakini kaniambia kwa awamu hii ananilipia yeye, nami nikasema sawa na ninashukuru sana
wakuu hii dhambi naiona kabsa ila hofu ni huyo mme wake maana tunaheshimiana saaaana!
akijua sijui itakuaje, hapa naona uzalendo unakaribia kunishinda
hapa nahisi kapotea maana mi kwa tabia zangu za kitambo siwaachagi hawa, naona ananifuatilia saaana, soon mtaona manyoya wakuu
nimeonelea tu niwape taarifa!
Nawasilisha
Je mke na mmewe una uhakika hawaingii ndani ya hii nyumba ya jf?Wakuu

Makamanda hawaogopi kufaBure ni ghali sana, unaweza kufikiria tatizo la kodi litakwisha lakini unajua anayoyabeba kwenye mwili wake? Usije ukaishia kwenye kitengo na ARV kwa maisha yako yote yaliyobaki.