Mama mkwe umri sawa

Mama mkwe umri sawa

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,290
Reaction score
1,428
Mama mkwe umelingana nae kiumri, mwane unalamba , Unawajibika kumpa shikamoo ?
 
Du! Hii dunia sasa kazi kuishi. Unataka ulambe na yeye?
 
unataka kula kuku na mayai?

nahisi ukimaliza utataka na vifaranga pia....!

naam mpatie heshima yake, si ndo mzaa chema...
 
Mama mkwe umelingana nae kiumri, mwane unalamba , Unawajibika kumpa shikamoo ?

Ni mke wa ndoa? Sijui nimejisiakiaje! lakini inanishangaza zaidi sana kuwa na mke ambaye mama yake ana umri sawa na wewe! Kwa lugha rahisi mke uliyenaye, kiumri ni sawa kabisa na mtoto wako wa kuzaa mwenyewe! Ulikuwa wapi na kwa nini uwe na mke uliyepishana naye umri kiasi hicho kikubwa? Akili, fahamu, maamuzi, upenzi wa vitu, kwenda kwenye starehe na speed za ujana, utazimudu au ndo utaachia vijana wakuonjee? Kama si mke bali ni kidemu tu cha muda, hapo hauhitaji shikamoo maana unachikifanya ni uhuni tu na uhuni hauhitaji heshima wala protokali yeyote!

Tukirudi kwenye mada yako, mkeo maana yake ni mwili mmoja nawe. Kwa lugha rahisi, mama wa mkeo ni mama yako pia hivyo fikiria kama ni sawa kutokumsalimia mama yako!
 
Back
Top Bottom