Kalosa JF-Expert Member Joined Feb 22, 2017 Posts 1,915 Reaction score 5,593 Jun 16, 2017 #61 pole sana.
Mnyalukolo Vahukaye JF-Expert Member Joined Jun 11, 2017 Posts 460 Reaction score 383 Jun 16, 2017 #62 The Boss said: Mama Mkwe baba mkwe mashemeji ni watu wa kuwaweka mbali kiaina hutakiwi kuwa nao close....sababu unaweza shindwa namna ya kuwatazama usoni mkishindwana na mtu wako Click to expand... Ahsante
The Boss said: Mama Mkwe baba mkwe mashemeji ni watu wa kuwaweka mbali kiaina hutakiwi kuwa nao close....sababu unaweza shindwa namna ya kuwatazama usoni mkishindwana na mtu wako Click to expand... Ahsante
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Jun 16, 2017 #63 The Boss said: Mama Mkwe baba mkwe mashemeji ni watu wa kuwaweka mbali kiaina hutakiwi kuwa nao close....sababu unaweza shindwa namna ya kuwatazama usoni mkishindwana na mtu wako Click to expand... ivi hawa bado wanakua referred as wakwe hata kama hamjaoana? maana naonaga uzito kwenye mahusiano kuwaita wakwe...nzigo mpaka ndoa ndo ntaita wakwe
The Boss said: Mama Mkwe baba mkwe mashemeji ni watu wa kuwaweka mbali kiaina hutakiwi kuwa nao close....sababu unaweza shindwa namna ya kuwatazama usoni mkishindwana na mtu wako Click to expand... ivi hawa bado wanakua referred as wakwe hata kama hamjaoana? maana naonaga uzito kwenye mahusiano kuwaita wakwe...nzigo mpaka ndoa ndo ntaita wakwe
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 Jun 16, 2017 #64 vaikojoel said: ivi hawa bado wanakua referred as wakwe hata kama hamjaoana? maana naonaga uzito kwenye mahusiano kuwaita wakwe...nzigo mpaka ndoa ndo ntaita wakwe Click to expand... kimjinimjini siku hizi ndo hivyo
vaikojoel said: ivi hawa bado wanakua referred as wakwe hata kama hamjaoana? maana naonaga uzito kwenye mahusiano kuwaita wakwe...nzigo mpaka ndoa ndo ntaita wakwe Click to expand... kimjinimjini siku hizi ndo hivyo
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,929 Reaction score 3,985 Jun 16, 2017 #65 Rudiana nae tu mkuu.
Donpela JF-Expert Member Joined Jun 30, 2011 Posts 2,040 Reaction score 592 Jun 16, 2017 #66 The Boss said: kimjinimjini siku hizi ndo hivyo Click to expand... Acha niwe conservative tu ...