Mama mkwe mshikaji


Ahsante kwamaelezo yako yenye maswali lakini ya kujenga! hili swala sitanii ni kweli lakini nahisi wenye michango ya kiujenzi mmenifumbua macho! thank you again!
 
julius mahinya
Unamtaka nani kati yao kwani:
Umesema mama mkwe mnatajiana hata majina ya vitu vya ndani;
Binti naye anataka uchumba ;

mamndenyi;heshima yako kwanza!
unajua wa mama wa kimjini mjini wako kimasihala sana hasa wanapo kutana na mtu charming kama mimi! lakini hutumia mwanya huo kutimiza malengo yao! mwanzoni sikujua kama angefikia hatua hiyo na kwa kuwa ni rafiki kama ulivyo wewe tulitumia muda huo kujadili mambo kama tunavyo fanya mimi na wewe hapa but kesho unaweza nipm nimuoe binti yako nami nikashawishika!
 
siku zote ulipokuwa unapiga story na mama mkwe ulikuwa huna mwanamke je ?uyo best ma mkwe hakuwahi kumuona mwanamke wako.kama anamjua au ulishawahi kumuhadithia kuwa una uhusiano na mwanamke mwengine kuwa macho zaidii

sikuwa na mke! nafikiri mpaka sasa sina mke japo kuna mtoto sasa nimezungumza naye ili tuanze safari ambaye ndio huyu tunampigia stori!
 

kuna mambo umesema ni ya msingi sana! aisee ana meme ila mama ni too talkative!
 

aiseeeeeeeeeeeee! haaaaa aaaahaaaaaaaaaaaaaaaaa! kweli kuna watu na viatu!
 

hilo nalo neno!
 

dah, ila mapenzi ya kibongo bwana hadi raha!

mnasetiana tu mambo yanaenda poa!!!

leo hii kasetiwa, mmeoana! kesho atasetiwa, mtaachana!!

hivyo, nakushauri utafute mwanamke ambaye mnaendana!! sie mwendane kwa kusetiana!!

au sio?
 
Kukubali kwake kila kitu siyo ishu wee chukua mtoto huyo, lakini jaribu kumchunguza hasa familia yake kama hamna tatizo chumbia then oa, pengine ni njia mojawapo ya Mungu kukukutanisha na mkeo
 
Binti ana miaka 20, wewe je? Ukinijibu nitarudi...waiting...
 
julius mahinya, wewe umesema upo karibu na mama wa binti, na huyo mama na wenzake wamekushawishi uoe binti yake, kuna la kujiuliza hapo ?????

Sema tu na Moyo wako kisha chukua hatua
 
Last edited by a moderator:
Ufoo type kila kitu! Chezea mashami.
Kutiri stautiii?? Mama kashakusoma sasa hapo unawekewa msalaba(target)
 
maongezi yangu yenye i love u umeyasikia wapi mkuu! au ndio kuwa much know? haya karibu unishauri umri wangu 27, una jipya?
naomba nikuulize wewe na helpless hopeless ni ndugu?
...............just be careful,usipoangalia utakula kuku na kifaranga pamoja,kwanza kwanini ushawishiwe uwe rafiki na huyo binti,huyo binti ameshindwa kujitafutia boy friend/mchumba for that matter? there is something fishy,halafu wewe unawezaje kuwa na mama mkwe ambaye alikuwa rafiki yako wa karibu hivyooo?.....utaliwa usipoangalia fungua machooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…