fazaa nilielewa kuwa Erotica kaandika kuwa vichanga vya miez mitatu viko home,haviko na nyie hapo kwenye eneo la hatari,ndio maana nikasema bibi yao akiokolewa pia anaweza kuwalea,maana erotica alionesha kuwa wife ni muhimu aokolewe sababu vichanga vilivyoachwa home vinamuhitaji avilee.queenkami Sijasema napenda vichanga vife, hapo lazima ujuwe Erotica kauliza swali nichagua nani wa kumsave kati yao...Kama ni ushauri wangu sipendi kuwakosa wote lakini unapoulizwa nani bora kati yao apoteze maisha yake ni bora hako kachanga...Nadhani umenipata sasa.
queekami huyo Erotica anaonyesha kama hapendezewi kuona mwanaume anamheshimu mama yake, kuliko mke wake...Ye anataka mwanaume amheshimu mke wake kuliko mama yake.
fazaa hapo pekundu huwezi amini jinsi nimefurahi ajili yako.queekami huyo Erotica anaonyesha kama hapendezewi kuona mwanaume anamheshimu mama yake, kuliko mke wake...Ye anataka mwanaume amheshimu mke wake kuliko mama yake.
Type za wanawake kama Erotica wachezee wanaume wale walio regea regea sio wanaume kama sisi...Hajui kuna wanaume wengine huwa hata kama tunapenda vipi, ikifika kwenye heshima lazima heshima iwe mbele....Mama lazima apewe heshima zake kuliko mke, bila ya mama hata mke wangu asinge niona hapa duniani.
Afu cha ajabu mimi ni mtu na bahati sana, mke wangu anamheshimu mama yangu kuliko anavyo niheshimu mimi, afu huwa anafurahi sana kuniona namheshimu sana mama yanguoa
Aisay poleni sana...Mimi mama yangu hana kabisa matatizo na mke wangu au wake za ndugu zangu.fazaa hapo pekundu huwezi amini jinsi nimefurahi ajili yako.
Usiseme una bahati,sema wewe ni miongoni mwa waliobarikiwa,
Your wife is a blessing.
Ungejua tu wengine huko jinsi vita kati ya mke na mama mkwe ilivyo kali hadi inafikia kipindi mume anajikuta njia panda.
Hapo juu nadhani Erotica alikua anapima tu upepo aone kama wanaume mnapenda wake zenu zaidi ya mama zenu au la.
Erotica wapi nimekimbia, afu wapi nimejifanya sijakusoma....sasa we ulikuwa unataka mimi nife hahaha...Aisay sikujua kama unanipenda vile, I love u :bounce:
Aisay poleni sana...Mimi mama yangu hana kabisa matatizo na mke wangu au wake za ndugu zangu.
Ila inawezekana siri ya mafanikio iko kwa maza.queenkami mungu atajalia utapata mama mkwe kama mke wanguoa
queenikami inategema na mke pia, kama mke wako anakupenda lazima ataheshimu tu family yako...Afu yasemekana majority of married people wanakuwa kwenye matatizo vikikosekana vitu viwili....Heshima na mapenzi.Ila inawezekana siri ya mafanikio iko kwa maza.
Labda mama yako upendo wake kwa mkeo na hekima zake za kimama zimesababisha mkeo hana jinsi zaidi ya yeye pia kumpenda na kumuheshimu mama.
Hivyo kama siri iko kwa mama basi Mungu na anipe hekima za mama fazaa.
Sababu mam mkwe ukiwa mcharuko kweli hata kama binti wa watu ana heshima na upendo si vitamshinda tu.
fazaa kuna wanawake wanawapenda waume zao lakini hawawapendi kabisa mama wakwe wala mawifi wala ndugu yeyote wa mume,yaani anataka kama vile awe na mume na ndugu zake yeye(mke) tu hao wengine wa mume ni wabaya wote.queenikami inategema na mke pia, kama mke wako anakupenda lazima ataheshimu tu family yako...Afu yasemekana majority of married people wanakuwa kwenye matatizo vikikosekana vitu viwili....Heshima na mapenzi.