Mama mkwe hii tabia haifai

Mama mkwe hii tabia haifai

tpaul

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2008
Posts
25,946
Reaction score
25,308
Jambo wana MMU!

Kuna jamaa yangu mmoja anayeishi Dar ambaye amemuoa binti wa ki-Tanga. Kumbe kabla ya kuolewa alikuwa na X wake kule Tanga na waliendelea kugegedana kwa siri hata baada ya kuolewa.

X ni mtu mwenye fedha zake na amekuwa akimtunza 'mama mkwe' wake huyo utadhani yeye ndiye mkwe wa ukweli na mama anamkubali sana.

Baada ya kunogewa na mgegedo wa kuchepuka, alikula njama na 'mama mkwe' amlete hadi nyumbani kwa binti yake Dar. Ili kufanikisha unyama huo mama akamtambulisha X kama kaka wa binti yake.

Mume wa bintiye (mkwe wa ukweli) akaamini kweli kwamba X wa mke wake ni shemijiye na akaendelea kukaa hapo nyumbani kwake kama kawaida.

Siku moja mkwe wa ukweli aliwahi kurudi home kutoka kazini. Alipofika akamkuta mama mkwe amekaa nje. Katika hali ya kushangaza, alipoingia ndani alimfumania shemeji wa bandia (X ) akimgegeda mkewe kwenye kitanda chao cha ndoa (matrimonial bed).

Kilichofuata baada ya hapo nitawaeleza baadaye (ngoja kwanza nijiweke sawa kisaikolojia kabla ya kukiweka bayana).

MASWALI:

1. Je, ingekuwa wewe ndiye mume ungefanyaje?

2. Je, huyu mama mkwe tumuweke kundi gani?

NIONAVYO

Kuna baadhi ya mama/mama mkwe ama wamelaaniwa au wana mapepo ya ngono. Inakuwaje mama mkwe amlete X wa binti yake kumgegeda binti yake, tena kitandani kwa mkwe wa ukweli?

Vilevile, baadhi ya wanawake walio kwenye ndoa (kama huyu hapa) ni SUMU kuliko sumu ya nyoka. Mke kama huyu ni ibilisi wa kutupwa.

Nawasilisha.
 
Vizuri umejijibu mwenyewe!.... Wanawake wa Tanga ni wajuzi wa mapenzi lakini!
Na mpenda boga hupenda na maua yake!
 
Kwanini hujamalizia tu au unapima upepo?? Anyways haya tumekupata kweli dunia sio fair
 
Siku zote wanawake akili zao zipo kwenye papuchi anawaza kutanua miguu,kuosha papuchi,kuikanda,jinsi ya kumteka mwanaume kimapenzi sasa Mwanaume ukimwamini mwanamke ujue umelaaniwa

Aisee cjui hata nisemaje,bt umemaliza maneno yote
 
in the future utakuja na post nyengine una PhD unatafuta kaz

in the future utakuja na post nyengine una PhD unatafuta kaz

in the future utakuja na post nyengine una PhD unatafuta kazi!

kivipi mkuu? wewe unaona mama mkwe na bintiye walimtendea haki mkwe? huoni kwamba walikuwa wanamtafutia kifungo cha maisha au kinyongo? kama jamaa angeshikwa na hasira akamchomea mgoni na mkewe ndani ya nyumba si angenyongwa kwa kuua bila kukusudia?
 
Siku zote wanawake akili zao zipo kwenye papuchi anawaza kutanua miguu,kuosha papuchi,kuikanda,jinsi ya kumteka mwanaume kimapenzi sasa Mwanaume ukimwamini mwanamke ujue umelaaniwa

umemaliza mkuu. na wanawake wa namna hii hujifanya kuwa wakali sana pindi mume akichepuka au kuonyesha dalili za kuchepuka--hutumia mbinu hii kama defensive mechanism ili waonekane 'wasafi' mbele ya waume zao kumbe ni wizi mtupu!
 
Mama mkwe wa hivyo mbona raha sana, unamvutia ndani unaanza kumtandika tu mbele ya binti yake, saaafi!
 
mbona hiyo kawaida kuna wamama watu wazma hovyooo...!
 
Siku zote wanawake akili zao zipo kwenye papuchi anawaza kutanua miguu,kuosha papuchi,kuikanda,jinsi ya kumteka mwanaume kimapenzi sasa Mwanaume ukimwamini mwanamke ujue umelaaniwa

unamaanisha wanawake wote kweli? Kumbuka aliyekuleta duniani ni mwanamke pia
 
Huyo mamamkwe nae atakuw anabanjuliwa na huyo jamaa

haswaaaaa! kule nyumbani kwao Tanga mamamkwe ndiye 'kipumzikio' cha jamaa. sidhani kama jamaa akitaka papuchi ya mama atanyimwa. mshenzy mkubwa huyu mamamkwe!
 
ebwana dahhh

hii nimeipenda mkuu

hapo si ushajua umeowa ukoo wa majuha, we pigamashine halafu waambie watambae fast, kama ushazaa na huyo mwanamke ndiyo hasara zenyewe hizo...omba mwana asirithi upande huo!
 
Back
Top Bottom