Mama timmy
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 656
- 212
Samahani Kama nita Waudhi.hili alilosema huyu bidada ni kweli kabisa.wanaume wa kutokea huko wanashikiwa akili na dada zao na mama zao.ukiolewa huko halafu ukakutana na mawifi wasiokupenda utakoma kwanza wanasema hawamezi hata mate.sali sana kwani ndo ushaingia.ombi langu kwako usikwepe majukumu ya kuwa hudumia wazazi wenu hasa kwenye ugonjwa.na Kama mums wako ni wa mwisho kwenye familia jitahidi hata Kama haukai machame weka mtu utakayemlipa kwa ajili ya kuwa hudumia Hao wazee.angalizo huyo shangazi nae ni sawa na Hao dada na mama mkwe.na tabia nyingine ya hawa watu ni kusema uongo unaofanana na ukweli.kuwa makini na ngangarimmh! leo naomba niongelee upande wa pili wa kabila langu jamani labda tutaelewana kidogo.
wanwake wa kimachame ni wakatili sana na mbaya zaid huwa wanaonaa watoto wao wa kiume kwamba hawakui. mm binafsi ni mmoja wao na nafkiri mnaona jinsi ambavyo hata hapa jamvini ninawapelekesha wakwe zangu na wadogo zangu hasa wa kiume?? joke
ila nilijisemeaga mm ni mmachame i will never marry machame man simply kwasababu ya tabia za wakwe hasa wakike na mawifi. hawa roho zao ni mbaya sana ( hata mm ni wifi kwa mke wa kaka yangu) so nawajua jamani.
asipompa mwanae ama kaka dawa ya kichawi ili akuache basi atamtafutie mwanae/ kaka gf mwingine ama hawara ili akupe jaka moyo. a tena kw jinsi walivyo na midomo akimpatia hawara atahakikisha wewe mke unajua. atafanya juu chini ujue hawa si watu kabisa.
ila sasa ukibahatika kupata familia ye ye upendo utafurahia maisha milele. manake watakupa company ya nguvu.
sasa wewe hapo hujaona cha mto subiria siku watamleta huyo hawara humo dani live wanywe bia wakikucheka ama watakusaidia hata kumfuia na kumpikia kaka yao kwasababu tu eti hawakutaki
Habarini waungwana,.. Kwa muda mrefu nilikua nikielezwa kuwa mama mkwe wangu hataki niishi na mwanae na alikua anamshawishi mume wangu aniache na amuoe mwanamke aliyemtafuta yeye kwa madai alimzaa mume wangu ili akija kuoa mwali wake akaenaye,Jambo ambalo kiukweli alishanieleza kw napaswa kumuacha mume wangu dar.Nikaish naye Machame na nililipinga,Hvy akaamua kumshawish mume wangu aniache lakini mume wangu alikataa katakata.wiki 2 zilizopita nilipewa taarifa na shangazi wa mume wangu kuwa mama mkwe wangu kaenda kwa mganga kumtafutia mume wangu dawa ili aachane na mimi,Na anapanga safari ya kuja dar ili akamilishe mia yake...Nilipokea niliyoelezwa na kunyamaza kimya na siku 2 badae mama mkwe wangu alinipigia simu kuwa anakuja kututembelea,alipokuja nilimpokea vizuri na baada ya siku 2 kupita nilimfuma mezani akiweka dada dawa nyeusi kwenye chai niliyokua nimemuandalia mume wangu,nilishtuka na yeye alishtuka sana,Sikumuuliza chcht.Niliamua kupika chai nyingne na kuimwaga ile.Je nifanyaje waungwana?
Mama mkwe mmachame????sepa fasta,utaondoka hivi hiviMweleze mumeo...
Ngoma ikiwa nzito sepa...usije fia hapo....Kuna familia nyingine tabu sana kuoa/kuolewa nazo......
Muache amloge, si.mwanae! Mie ningemkuta ningemuambia ongeza kijiko kijae mama, huyu hakolei haraka. Afu namuita mume, njoo l'aziz unywe chai hii mama kawek dawa. Tutakutengeneza hadi uwe chizi mwaka huu. Afu handbag yangu mie, na mchuchumio huyoooo, naenda zangu. Nikirudi naliangalia vumbi angani kujua kama wamemalizana
Muache amloge, si.mwanae! Mie ningemkuta ningemuambia ongeza kijiko kijae mama, huyu hakolei haraka. Afu namuita mume, njoo l'aziz unywe chai hii mama kawek dawa. Tutakutengeneza hadi uwe chizi mwaka huu. Afu handbag yangu mie, na mchuchumio huyoooo, naenda zangu. Nikirudi naliangalia vumbi angani kujua kama wamemalizana
ungempatia huyo bint wa kaz anywe hyo chai!ndo angetia akili
Dah hii kali alafu kuna story eti hao jamaa kijana akioa baba mkwe nae lazima ale mzigo na akimwacha huko machame baba anaendeleza ukoo kwa kutafuna mke wa mwanae.