mpenda siri
Member
- Dec 30, 2015
- 79
- 40
- Thread starter
-
- #61
bikra haikuwepo kwani akutoka hata damu, ila akajifaragua kwamba huenda ilitoka kwenye kazi au kendesha baiskeli, nikaona isiwe shida kwani nimeuziwa mbuzi kwenye gunia, ingekuwa agano la kale kwa mzee musa angepigwa mawe mpaka kufa.ila sasa tupo kizazi cha mwisho kwenye agano jipya.sikujali kwa uongo wake.Halafu mkuu hujasema kama kweli ulimkuta bikira siku ya honeymoon yenu. Maana umesema alikuambia yeye hajaguswa. Hebu funguka kidogo
note mkuu nitajipangaChief nakushauri tena kama Mtanzania mwezako achana nae tena kaa nae mbali kama motoni,kama alikukosa kipindikile kukutoa roho sasa utatolewa,pia Mara bikira Mara alitendwaa,wewe unadhani unajua mwenyewe kutongoza!?Fanya mambo yako achana nae
Pole sana mkuu, ila huyu mtu kwa ka historia kake ulivyoeleza namfananisha na demu mmoja nilikutana nae miaka kadhaa Dom. Ana features kama ulizozielezea na kabila pia kachanganya unyalu na huko nchi ya jirani. Ana figure nzuri na ni mzuri. Ila jeuri na mwongo mwongo. Sasa sijui kama ana undugu na huyu. Nami nilikua nampenda ila baadae nikanyoosha mikono juu. Halafu ana matusi, kukuita msengelema wala haoni hataribikra haikuwepo kwani akutoka hata damu, ila akajifaragua kwamba huenda ilitoka kwenye kazi au kendesha baiskeli, nikaona isiwe shida kwani nimeuziwa mbuzi kwenye gunia, ingekuwa agano la kale kwa mzee musa angepigwa mawe mpaka kufa.ila sasa tupo kizazi cha mwisho kwenye agano jipya.sikujali kwa uongo wake.
nasubiri ajifungue ili nikacheki D.N.a, kwani maelezo niliyopata kwa wadau wengi wanasema kabila lao huwa hawachagui cha kaka , dada , mjomba , wote ni kama maharage ya mbeya anapokutana na pua ndefu mwenzake , wanamegana sana ili damu isiende mbali, pia na hizi takwimu za mkemia mkuu huenda nikajua ukweli hapo atakapo jifungua, ninasubiri kwa hamu kama vile mlinzi angojeavyo kupambazuke asubuhi.Ngumu kumesa, pamoja na usengerema wote aliokufanyia bado unaendelea kuamini mimba ni yako. Ningekuwa nshampasua long time agooo
tabia zao zina fanana mkuu kwani wote wanaringa km vile hawaendagi haja, kiburi kwao ni desturi na dharau kwa watu wa jamii ingine ni km wimbo wao wa taifaPole sana mkuu, ila huyu mtu kwa ka historia kake ulivyoeleza namfananisha na demu mmoja nilikutana nae miaka kadhaa Dom. Ana features kama ulizozielezea na kabila pia kachanganya unyalu na huko nchi ya jirani. Ana figure nzuri na ni mzuri. Ila jeuri na mwongo mwongo. Sasa sijui kama ana undugu na huyu. Nami nilikua nampenda ila baadae nikanyoosha mikono juu. Halafu ana matusi, kukuita msengelema wala haoni hatari
Dah meshindwa kumalizia kusoma, maana ndefuuuu hadi inakera
Safi sana nimekupenda bureMwanamke anitukane kama mbwa ainyanyase kwa jeuri gani?? Hivi wanaume WA hivi mpo kweli?? Ingekua n mm ningepiga talaka na ukoo mzima wasinijue shwain!!