Mama mkwe amevunja ndoa yangu

Namshukuru Mungu nimeuona, heri ya mwaka mpya na kwako pia ma. Na kweli maandiko hayakukosea hata, asubiri tu atakachokiamua mumewe. Sijui hata alipatwa na nini sasa mwee
Yaani huyu Ni wazi Kuna lijitu lilikua linampa kichaa sasa ameachwa amekosa bara na pwan
 
Za kuambiwa changanya na zako pamoja na unayoona
 
Yaani huyu Ni wazi Kuna lijitu lilikua linampa kichaa sasa ameachwa amekosa bara na pwan
Eeh ni wengi wanaoshindwa kujicontrol once anapotokea mtu mwingine wa kumshika mapembe. Leo analia peke ako
 
Mtu haruhusiwi kumwacha mke au mume isipokuwa kwa uasherati. Kwenye bible ndo inasema hivyo.

So angalia, isije ikawa ni kitanzi kwako. Sababu ya kumpenda kwa sasa haimati sana isipokuwa je maisha yake na mwenendo wake uko sawa? Ukijiridhisha yuko pouwa.

Lea mwanao mkiwa baba na mama. Though pole aisee huo ni msalaba haswa
 
Hachana Na mwanamke Huyo Mapema ili Ujipange Na Mwanamke Anayekupenda Kwa dhati. Mimba Haikuwa na siababu ya Aliyokufanyia Bali,

Huyu Mkeo Hakuwa au Hana Mapenzi na Wewe. So Kwa Kuavoid Yasikupate Mengi ni Bora Ukajikalia Kivyako na Kutulia Kabla Haujampata Mke

Mwema. Nionavyo Huyo ni Mke Maslahi.
 
ok, asante
 
Naendelea kuhesabu malalamiko ya ndoa.

Hili la mama mkwe tena. Ndoa hizi zina mengi sana
 
thanks sister, ila sikupenda uzuri tu, pia hata mahusiano yoyote kuna red flags nyingi tu na watu wanaishi vizuri kwa amani..
 
Halafu mkuu hujasema kama kweli ulimkuta bikira siku ya honeymoon yenu. Maana umesema alikuambia yeye hajaguswa. Hebu funguka kidogo
 
Chief nakushauri tena kama Mtanzania mwezako achana nae tena kaa nae mbali kama motoni,kama alikukosa kipindikile kukutoa roho sasa utatolewa,pia Mara bikira Mara alitendwaa,wewe unadhani unajua mwenyewe kutongoza!?Fanya mambo yako achana nae
 
sasa mama mkwe wako amevunjanje ndoa yako? tatizo ulikataa ushauri wa wazazi, hasara yake ni hiyo.

rais mrefu kuliko wote EA, jamii yao wana silka ya kujivuna, visasi, chuki na hawapendi inter marriage. hivyo ulikosea sana kuwavagaa, utajuta nakuambia
 
Cha kufanya ni kitu kidogo tu aje aombe radhi mbele ya wazazi wako na wake yy kinyume na hapo c mkweli huyo
 
asante kaka
 
nimeshajutraaa kuwafahamu hawa jamaa.
 
maumivu ya kichwa huanza taratibu, BOMU HILO. Jiangalie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…