Powel Mizengo
Senior Member
- Jan 20, 2014
- 126
- 24
Tukumbushe kwanza kisa cha dada mtu lol
Ni mimi sielewi au wewe hueleweki?
Kwanza heading inamtaja mama mkwe then contect ni shemeji,sijui story yako na dada yake ila sielewi unapewaje mdogo mtu awe replacement. Hapo ana replace hisia zako kwa dada yake au uwepo tu wa mwanamke kwenye nyumba?

Huyu bwana namkumbuka alikuja hapa akasema ameachana na mpenzi wake ila mama mkwe ambaye ni mama wa huyo mpenzi wake alikuwa anamsihi amchukue mdogo wa huyo aliyekuwa mpenzi wake kwakuwa jamaa alikuwa mwema katika hiyo familia,jamaa ndo analeta mrejesho kwamba alikubaliana na huyo mama mkwe na kumchukua huyo binti sasa analeta maswahibu ya huyo binti kuwa anamuibia pesa hapo umeelewa mtiririko madamNi mimi sielewi au wewe hueleweki?
Kwanza heading inamtaja mama mkwe then contect ni shemeji,sijui story yako na dada yake ila sielewi unapewaje mdogo mtu awe replacement. Hapo ana replace hisia zako kwa dada yake au uwepo tu wa mwanamke kwenye nyumba?
Huyu bwana namkumbuka alikuja hapa akasema ameachana na mpenzi wake ila mama mkwe ambaye ni mama wa huyo mpenzi wake alikuwa anamsihi amchukue mdogo wa huyo aliyekuwa mpenzi wake kwakuwa jamaa alikuwa mwema katika hiyo familia,jamaa ndo analeta mrejesho kwamba alikubaliana na huyo mama mkwe na kumchukua huyo binti sasa analeta maswahibu ya huyo binti kuwa anamuibia pesa hapo umeelewa mtiririko madam
Huyo ni mkeo tayari unaongelea ndoa gani! wakati uko naye na nyumbani kwao wanajua,vinginevyo umeshakula tunda umeona tofauti ya dada mtu na yeye unataka umuache, mwambie tu aache huo mchezo.
siku ukirudi na kondom used kwenye wallet naona ataacha kukusachi