Mama mjamzito kupitiliza siku za kujifungua imekaaje hii?

Albert Einstein alikaa tumboni wiki tatu zaidi hivyo ubongo wake ukapata more time to develop kwahiyo akawa na akili nyingi mkuu na wewe mkeo atazaa jembe usiwe na wasiwasi
 
Albert Einstein alikaa tumboni wiki tatu zaidi hivyo ubongo wake ukapata more time to develop kwahiyo akawa na akili nyingi mkuu na wewe mkeo atazaa jembe usiwe na wasiwasi
Daaaaah umenifurahisha sana ndugu kwa maoni yako asante.
 
Wanajamii wenzangu poleni na majukumu ya maendeleo

Mke wangu ni mjamzito wa wiki 42 n sawa na miezi 10 na wiki 2 lakini hanatatizo la haina lolote kwa kipindi xhochote na nmecheki ultrasound takribani Mara mbili na ya mwisho n Tarehe 10 ya mwezi huu na kuna tatizo lolote kwa mtoto na njia iko safi kabisa na baada ya ultrasound tuliyofanya tarehe ya makadilio...
Habari,

Tupe mrejesho. Naamini Ulivuka salama! Kuna rafiki zetu wanapitia hali kama hii! Uliikabili vipi hatimae?
 
Back
Top Bottom