Mama miwani njoo kipande hii tafadhali utoe ufafanuzi wa mashtaka haya....Mkuu wiseboy, ni njia ipi unadhani huenda ikawa suluhisho la tabia yake? Umewahi/mmewahi kujaribu?
Baada ya kutoa thread ya police m.shenz ambapo niliitwa mbea na maneno mengi yakatolewa dhidi yangu,leo tena nimekuja na mpya,ni kawaida sana sisi waandishi kuitwa wambea,wakuda,wanafiki na n.k,hiyo ndo kazi yetu we don't care anyway,mama miwani (si jina lake halisi) ni mama hatari mkazi wa kijiji cha ilogi ktk wilaya ya kahama,neno ilogi ni la kisukuma likiwa na maana ya "mchawi"(nitaelezea siku nyingine kuhusu kijiji hiki) mama huyu ambaye nilipata kumfahamu tangu akiwa musoma,alifukuzwa hapa musoma kwa tuhuma za uchawi ndo akakimbilia ilogi ambako hata baada ya kufika huko tabia yake hakuiacha,ktk tukio moja la kifo cha utata cha mtoto wa miaka 8 ambaye alifariki ghafla na akawa anainuka na kuendelea kufa ambapo mimi ni shuhuda,mama huyu alihusishwa na tukio hilo kwa ushahidi dhahiri,ni mwanachama mwaminifu wa chama kinachojiona ndo mungu mtu wa Tz,kijiji kizima cha ilogi kina habari zake,na alihusishwa na mauaji ya mlinzi wake ambapo inasemekana amemficha msukule,ana jumba kubwa linalotisha hata mchana.
uchawi upo!
Daah! Akawa anainuka kuendelea kufanyaje???[/QUOTE]alifariki ghafla na akawa anainuka na kuendelea kufa ambapo mimi ni shuhuda
Dah wewe ni mwandishi wa habari, poor Tanzania mauaji ya vikongwe kwa namna hii yataisha kweli? Shame on you!
Sisi tuliozungukwa na damu ya YESU (kwa imani yangu pls) hakuna mchawi,pepo wala upuuzi wowote waweza kutugusa.

Daah! Akawa anainuka kuendelea kufanyaje???