Miaka yote uliyoishi ikulu kwa uadilifu mkubwa pamoja na watoto wenu, hata siku moja wewe wala mmoja wa watoto wenu hamkuingilia kazi za mume wako ili kuongeza kipato kiujanja au kufanya biashara mlipokuwa ikulu. Mungu akubariki sana.
Ni kweli familia yote ilijawa na upendo+uzalendo kwa nchi yao! siyo hawa manyang'au waliokuja baada ya Nyerere!
Laana ya Mwl na iwaangazie katika familia zao!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.