Wewe ni mke wa mgombea wetu wa Urais,Dr. Magufuli. Unapaswa kuwa sambamba na Dr. Magufuli kama afanyavyo Regina Lowassa. Regina amezunguka nchini kupiga kampeni;anahojiwa na vyombo vya habari na kuandikwa.
Regina Lowassa anamwombea Lowassa na wagombea wa UKAWA kura. Anatamba na kupamba. U wapi Janeth Magufuli nawe ujibu mapigo? Jitokeze tafadhali hata kwa siku chache zilizobaki. Regina aweze ana nini na wewe ushindwe una nini?
Usikubali kushindwa na Regina Lowassa. Jibu mapigo na madoido!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Siku aliyo kushikisha ukuta alishadungwa hiyo sindano?
Tatizo Sundi.Teh teh teh aah usiniambie!
Mmmh!! Sikushangai, kwani hata wabunge na mawaziri wa CCM akili zao ni kama zako.Hamna chochote mmeshamtia mama Regina Lowassa dole la tako mnamtafuta Janeth Magufuli nae mumtie dole la tako kama shida yako ni kiboga mtafute Regina ndio kazi yake akilewa tu kwisha habari yake unajilia mzigo kiulaini kabisa.
Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.
Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.
Hivi lowasa anapiga mambo??
Mpe uone.
Teh teh teh ndugu, wewe ulishampa hayo mambo?
Tunduma kashindwa kuongea, wanasingizia vipaza sauti.
Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.
Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.
Mimi sio Tomaso.
Teh teh teh kwahiyo huyo jamaa hapo juu ni Tomaso?
Wewe ni mke wa mgombea wetu wa Urais,Dr. Magufuli. Unapaswa kuwa sambamba na Dr. Magufuli kama afanyavyo Regina Lowassa. Regina amezunguka nchini kupiga kampeni;anahojiwa na vyombo vya habari na kuandikwa.
Regina Lowassa anamwombea Lowassa na wagombea wa UKAWA kura. Anatamba na kupamba. U wapi Janeth Magufuli nawe ujibu mapigo? Jitokeze tafadhali hata kwa siku chache zilizobaki. Regina aweze ana nini na wewe ushindwe una nini?
Usikubali kushindwa na Regina Lowassa. Jibu mapigo na madoido!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Ndiyo mkuu ni Tomaso huyo
Teh teh teh teja lile mpaka lidungwe sindano!!