VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kwanini asingeolewa huyu Juliana Shonza akawa mke wa muda, anajitahidi sana kwa propaganda
Hivi lowasa anapiga mambo??
Hivi lowasa anapiga mambo??
Hivi lowasa anapiga mambo??
Teh teh teh teja lile mpaka lidungwe sindano!!
Nyumba ndogo ile inamletea mke wa hapanikazitu mushkeliWewe ni mke wa mgombea wetu wa Urais,Dr. Magufuli. Unapaswa kuwa sambamba na Dr. Magufuli kama afanyavyo Regina Lowassa. Regina amezunguka nchini kupiga kampeni;anahojiwa na vyombo vya habari na kuandikwa.
Regina Lowassa anamwombea Lowassa na wagombea wa UKAWA kura. Anatamba na kupamba. U wapi Janeth Magufuli nawe ujibu mapigo? Jitokeze tafadhali hata kwa siku chache zilizobaki. Regina aweze ana nini na wewe ushindwe una nini?
Usikubali kushindwa na Regina Lowassa. Jibu mapigo na madoido!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.
Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.
Hivi lowasa anapiga mambo??
Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.
Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.
Wewe boya sana!Jamani yule mama sio golikipa ana ajira yake, yuko anatumikia taifa.
Huyo wa kwenu kiguu na njia hadi kwenye vijiwe vya masela atakuja shikwa makalio bure.