Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Maskin seky alimpendaje lulu.
binamu ndio vya kuongea kwa hhuruma
alimpenda ila mungu alimpenda zaidi
Maskin seky alimpendaje lulu.
Mama Lulu' ametoa kauli nzito yenye kushtua kwamba anatamani mwanaye huyo afe tu ili watu wanyamaze kumsemasema. Imemuuma sana!
Naona mmefukua makaburi!Haaaaa mie mwenyewe ni mmoja wa waliocomment shombo kule...
Upo rafiki.Aaaah