Mama kilango malechela........

nyengo

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
454
Reaction score
185
Huyu mama yuko wapi? Alikuwa mpiganaji wa richmond siku hizi yuko wapi? Anapigania nini huko aliko?
 
JK kamwambia atulie. By 2012 atampa Unaibu Waziri (Jinsia, Maendeleo ya Jamii na Watoto) maana ndiyo thamani yake kama Mwakyembe na Unaibu Waziri wake.
 
JK kamwambia atulie. By 2012 atampa Unaibu Waziri (Jinsia, Maendeleo ya Jamii na Watoto) maana ndiyo thamani yake kama Mwakyembe na Unaibu Waziri wake.

Poor Mwakyembe!! That was really low for him
 
Du du du @NYC akiingia humu leo. Mimi simo!
 
Alinyamazishwa na Sophia Simba alipo mpasha kuwa yeye (Anna) na Mmewe (John) walipewa vijisenti na Jitu Patel.
Toka wakati huo Kanywea !!!
 
Huyu mama yuko wapi? Alikuwa mpiganaji wa richmond siku hizi yuko wapi? Anapigania nini huko aliko?

Nenda CCM wilaya ya Same utapata habari zake kuhusu masuala ya siasa na ukienda ofisi za Bunge Dodoma au DSM utapata habari zake. Kibinafsi mfuate Seaview Upanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…