Mama Kanumba asikitishwa na kitendo cha Lulu kutolewa jela. Asema "Siku zote maskini hana haki"

pole mama,na pole Lulu kwa kwenda jela wakati mashitaka yale hayakuwa na vielelezo tosha vya kiushahidi,hata ripoti ya mtaalam wa jamii walishindwa kuileta mahakamani;ila mama Kanumba tunaishi in a junky status country ,kwenye nchi zinazofuata wajibu wa kisheria ilibidi wakupe wewe taarifa kwanza na kupata maoni yako kabla ya msamaha huu wa ajabu,ni jaji gani aliyetoa msamaha?na umetolewa kwa vigezo gani?je mama wa marehemu alisikilizwa ili naye aridhie ili kuepusha migongano kama hii,tuendelee kusubiri.
umenifundisha jambo muhimu sana
 
Kifo ni kifo tu kumfunga jela mtu sikanakwamba marehemu atafufuka

Kama marehemu hafufuki basi majambazi wa magari ambayo yameenda kukatwa skrepa waachiwe!

Kwa sababu mwizi kufungwa magari ya wenyewe hayarudi, yashakata screpa yakauzwa vipande! Majambazi waachiwe magerezani!
 
Ushauri wangu kwa huyo mama ni kumshukuru Mungu kwa yote yaliyotokea. Atulie na kumwambia Mungu asante. Wenye nchi yao wameshaamua hata alie na kutoa machozi ya damu haisadii kitu. Afterall mwanaye alishakufa hata kama huyo binti angepigwa risasi bado mwanaye hawezi kurudi. Ameen
 
Aliachana na baba yake kanumba kwa kutegemea kanumba yupo sasa. Leo kanumba hayupo analia mbona baba yake kanumba sijawahi sikia akilala kama huyu mama inaonekana alitengeneza mazingira ya kuachana kwa kutegemea kanumba yupo ushauri mama mtafute baba kanumba mgange yajayo
 
Duh mbona baba kanumba kalalamika sana tu mpaka akaamua kukaa kimya ,usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Aliachana na baba yake kanumba kwa kutegemea kanumba yupo sasa. Leo kanumba hayupo analia mbona baba yake kanumba sijawahi sikia akilala kama huyu mama inaonekana alitengeneza mazingira ya kuachana kwa kutegemea kanumba yupo ushauri mama mtafute baba kanumba mgange yajayo
 
pole mama,na pole Lulu kwa kwenda jela wakati mashitaka yale hayakuwa na vielelezo tosha vya kiushahidi,hata ripoti ya mtaalam wa jamii walishindwa kuileta mahakamani;ila mama Kanumba tunaishi in a junky status country ,kwenye nchi zinazofuata wajibu wa kisheria ilibidi wakupe wewe taarifa kwanza na kupata maoni yako kabla ya msamaha huu wa ajabu,ni jaji gani aliyetoa msamaha?na umetolewa kwa vigezo gani?je mama wa marehemu alisikilizwa ili naye aridhie ili kuepusha migongano kama hii,tuendelee kusubiri.
Wampe taarifa ya nn??
Tunaamini katika sheria
Sheria iliyotumika kumuweka gerezani ndo hyo hyo iliyotumika kumtoa gerezan

Kwa sababu sheria zipo mshauri aishitaki mahakama ili wamrudishe lulu magaereza.
 
Nimeona watu wana mcrash bi mkubwa kueleza hisia zake ata mimi binafsi nimesikitishwa sana maamuzi ya mahakama zetu kuna wafungwa kibao wako jela na kesi same kama za lulu iweje yeye awe favoured!? Eti kuna mtu anasema ata lulu angenyongwa kanumba asingerejea sasa kama ni ivo kuna haja gani ya kuwafunga watu walio fanya mauaji ile hali our beloved whose gone wont come back? Tuache ushabiki wa kijinga leo janga limemkuta mama kanumba kesho mwanao au mzazi wako litamfika je mkosaji akiachiwa huru kwa favor kisa star au ana mshiko how would u feel? Haya ni kutengeneza mabaka mwisho watu wakishindwa kutrust vyombo vya dola nakuchukua sheria mikononi mnapiga kelele. Imagne bi mkubwa uchungu alio nao akianza kumsaka personaly lulu mtaani na kumuondoa? At kama ata kuwa jailed for her entire life but nafsi yako itakuwa safi kwa kujitoa sadaka kwa ampendae, Pole sana mama waswahili tunasema msiba usikie kwa jirani tu
 
Sikujua kuwa jf INA watu wajinga kiasi hili hata ninaowaheshimu naona wanasapoti ujinga huu, kwa nini lulu atoke kabla ya mda yeye ni nani hawezi kutumikia adhabu yake?

Kwani ni siri katolewa na wakubwa, in tz every thing is possible.

Yaan mama wa watu mnasema ana roho ya uchawi? Kwa kosa lipi? Angekuwa MTU baki si angefungwa miaka 30?

Mara bashite eti dad is coming ujinga mtupu.
 
Mama ngesem kweli. Mwanae keshakufa tena ukute anakula bakora tu huko alipo. Kafa kifo kibaya cha uzinzi mwanae. Badala aokoke kutwa kulia lia tu. Kanumba ni mshenzi, Mungu alivyo fundi kamwacha afe hivyo hivyo kishenzi.
 
Back
Top Bottom