Mama jenny why this??

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
How did u do this to me?how can we raise jenny in good morals..nilikupenda sana lakini kwa hii video...i am sory!
 
Huwezi kumpata huyo mama jeni kwenye simu au live hadi uje umuambie na sisi tujue matatizo yenu?
 
watu wengine bana kwanza taarifa nusu nusu haieleweki pili uzi hauna mashiko wala faida kwa jamii bora ampeleke huyo mama Jeni wake mahakamani tu huko watamuomba ushahidi ndo ataionyesha hiyo video
 
How did u do this to me?how can we raise jenny in good morals..nilikupenda sana lakini kwa hii video...i am sory!
Baba jenny naomba basi nami nione video ya mama jenny
mishipa imenisimama haki a mama....
 
Mama Jeni lazima atakuwa actor...afu hii movie lazima alikuwa kubwa la wahalifu/majambazi
 
How did u do this to me?how can we raise jenny in good morals..nilikupenda sana lakini kwa hii video...i am sory!
Kwani huyo mama hana simu mpaka umtext kwa kutumia jf. Video yake inahusu nini? Au ndo kashapelekwa Kigoma? Maana ulivyofura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…