• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mama Janeth Magufuli anaweza kuwashawishi Wake za Mabalozi nchini kutembelea nao Vivutio vya nchini

Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Messages
3,645
Points
2,000
Infantry Soldier

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2012
3,645 2,000
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

2306664_IMG_20200214_150308_203.jpg


2306641_IMG_20200214_143940_850.jpg


2306642_IMG_20200214_144016_012.jpg


Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.
2306646_IMG_20200214_144057_273.jpg


OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
7,755
Points
2,000
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2013
7,755 2,000
Wazo zuri ila hapo sitii neno.
 
Ncha Kali

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2019
Messages
1,875
Points
2,000
Ncha Kali

Ncha Kali

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2019
1,875 2,000
Meko hawezi kumruhusu huyo mama afanye jambo hilo. Kuonekana kwake public ni nadra sana maana mara nyingi huwa anajiuguza kwasababu ya vipigo vya Meko.
Utatusaidia tukihitaji kaushahidi kiduchu..?
 
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2010
Messages
1,452
Points
2,000
Mbekenga

Mbekenga

JF-Expert Member
Joined Jun 14, 2010
1,452 2,000
Mnataka first ladies wafanane?Mwl.Salma alikuwa anakagua miradi ya maendeleo na kufokafoka. Siioni WAMA labda Kama ilikuwa na mkataba na awamu ya 4 tu au haikuwa na sustainability plan.
 
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2012
Messages
3,288
Points
2,000
wa kupuliza

wa kupuliza

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2012
3,288 2,000
NSSF mlipeni hela yake bwn mdogo,ameanza kudata huku mtaani.
 
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
5,653
Points
2,000
TODAYS

TODAYS

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
5,653 2,000
Tusubiri ajaye ndugu zangu, kama ile ofisi tu ya pale pembeni ya kumfanya awe busy ilishafungwa unadhani kuna cha ziada hapo?
 
M

Mzukulu

Senior Member
Joined
Feb 14, 2020
Messages
165
Points
500
M

Mzukulu

Senior Member
Joined Feb 14, 2020
165 500
Kabla ya kumtaka Mama Janet Magufuli afanye hivyo unavyotaka Wewe je, huyo Mtangulizi wake Mama Salma Kikwete na wake wa Marais wengine waliopita Wao walifanya hivyo? au labda Kipindi chao Mlima Kilimanjaro haukuwepo na umeanza Kujitokeza wakati huu Mumewe Janet kuwa Rais wa Tanzania? Hivi dhamana ya kuwa Balozi wa Vivutio vya Kiutalii vya Tanzania ipo tu kwa Viongozi wa Tanzania na Wake zao pekee au ni Jukumu letu sote Watanzania wote bila kujali Hadhi yako, Elimu yako na mahala ulipo Kijiografia?
 

Forum statistics

Threads 1,403,648
Members 531,313
Posts 34,430,207
Top