Public relations: Mama Janeth Magufuli anaweza kuwashawishi wake za Mabalozi nchini kutembelea vivutio vyetu vya utalii?

Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

View attachment 1357305

View attachment 1357282

View attachment 1357283

Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.
View attachment 1357287

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Kabla hajafanya hivyo aulizwe kuhusu picha ya mumewe iliyomchekesha idrisa kama ndiyo aliyaelewa mapigo yale mpaka akasema "ndiio" huku anang'ata kucha 😁😁
 
Kabla hajafanya hivyo aulizwe kuhusu picha ya mumewe iliyomchekesha idrisa kama ndiyo aliyaelewa mapigo yale mpaka akasema "ndiio" huku anang'ata kucha 😁😁
Hii si hoja makini. This is personal attack. Huu si uungwana. Huu si ustaarabu mzee baba
 
Yule mama sijui kama anaweza,huwa simuelew,mkimya sana,na ukimya ule sijui nini.Au ndio wa mama wa usukumani,angekuwa mdengereko,au mxaramo sio makelele hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Courtesy is to be polite and have good manners. It is to be considerate of others and to have gracious ways.
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier (last born) nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mama Janeth Magufuli anaweza akawashawishi wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania ili aende nao kupanda Mlima Kilimanjaro au kutembelea Serengeti National Park?

Kama Naibu Spika Dr. Tulia ameweza kuwa Balozi mzuri katika kuitangaza vema Tanzania, mama yetu pia anaweza.

View attachment 1357282

Courtesy is to be polite and have good manners. It is to be considerate of others and to have gracious ways. It is a way of acting with people which makes them feel valued, cared for, and respected.

Courtesy is something people use when they are trying to make a good impression. It’s important to show courtesy with friends, relatives and people we are meeting for the first time.

“Please,” “Thank you,” “Excuse me,” and “You’re welcome” are not just words. They are courteous expressions which let people know you appreciate them and care about their feelings.

View attachment 1357283

Being courteous by not interrupting someone while they are speaking tells them that what they are saying is just as important as what you have to say.

Being polite to your parents, elders, and teachers is especially important. It shows them that you respect them.

Practicing courtesy makes every person feel important and acknowledged. No one feels taken advantage of or insulted. The next time they come in contact with you, they want to be around you and to help you. Courtesy is like a magnet. It makes you attractive to others.

View attachment 1357305

Picha hapo chini ni Mama Salma Kikwete aliwaalika wake za mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania katika hafla ya kuukaribisha mwaka mpya Ikulu jijini Dar. Hafla hiyo pia ilihudhuriwa na mama Mwanamwema Shein na Mama Tunu Pinda. Hapa wakiwa wamepiga picha ya ukumbusho.

View attachment 1357287

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TAFADHALI TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
shida Kikristo.... hapo "Ras Simba" atahusu!
 
Back
Top Bottom