LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
mnaweza sana kuona ushetani kwa wenzenu kuliko kwenu. hivi kwa kukujibu "kwani nyie siyo watu" manake ni kutumiwa na shetani? au wewe unaependa ku project mambo ndo una wingu la ushetani?. wewe unajiona kumwuliza "mbona unawaza", haikuwa kutumiwa na shetani... ila yeye kusema "hamis nyumbani kwakuwa hata hapa kuna watu" ni ushetani eeeh?. kama unaamini u msafi sana kwanini uwatafute watumiwa na shetani?. unafiki unafikiWana JF,
Hapa ofcni kuna mama amekuja kwa muda kutokea Cameroon
Nimemkuta akiwa katika hali kuwaza nikmuuliza
a) Mbona mama unaonekana unawaza au unahuzuni sana?
b) Umepa-miss nyumbani nini?
Akajibu: Mimi sina mawazo wala huzuni wala sipamiss nyumbani. Kwa nini nipamiss nyumbani na wakati nyie mupo hapa.
Akazidi kuporomoka: Nyie siyo binadamu kwani?
Ikabidi nijitete tu kwamba labda kwa sababu umezoe kule kwenu nikafikiria umepamiss sana na niaaga chapchap kwani niliona mama anataka kutumiwa na shetani.
huyo mama hakika hajui kiswah, hebu weka hayo majibizano kwa KIMALKIA ili tuone km maana inabaki vile vile?huyo mama anaongwa kiswahili?au wewe lugha ndio hukumwelewa hio lugha iliyokuja kwa ndege bongo
mmemkomesha sidhani kama tarudiakuleta thread za kinamna hiyo
Mtoa mada tafadhali naomba urejee kichwa cha habari yako.."mama huyu naye yumo kweli"
baada ya kusoma kwa kina sijaelewa katika haya yafuatayo na ningeomba majibu toka kwako
1- mama huyu yumo kwa lipi au kipi mpaka uje na kichwa kizito kiasi hicho cha habari hii
2- mama kutoku-miss nyumbani kwake cameruni kunamfanyaje au kunahusiana nini na wewe kusema yumo kweli?
3- mama kusema hapamiss nyumbani kwake wakati nyie watanzania na wafanyakazi wenzake mpo kunamfanyaje mama kuwa yumo kweli?
4- kwa mujibu wa maelezo yako unaonekana kama ni kijana/mtoto wa kiume..je huoni kama unamkosea mama na mwajiri wako kwa kumuuliza maswali ya kipuuzi na hasa wakati wa kazi ofisini kwenu?
5- je hudhani kwa tabia hizi unazozianza ukiwa na umri mdogo kama wako zinaweza kukuletea matatizo ukubwani na kujikuta ukisutwa na hata kuishia kuwa ubwabwa kwa tabia za kikekike za umbea na upana kaa pazia la senema?
majibu tafadhali...
Nothing personal...just thinking out of a box...karibu tufikiri sote.
Dada hapa hatukomeshani, tunashare mawazo tu kwa wote wanaume na wanawake.