Mama huyu kipofu kanishangaza



Masikini....damu nzito♥️
 
Vipofu wana Uwezo Mkubwa sana wa Kutambua bila Kuona
Kabisa. Kuna wengine huwa wanatembea huku wanatoa sauti fulani, kama wana-click clich ulimi wao. Kutokana na hiyo sauti inavyosafiri na kurudisha mwangwi wanajua sehemu zenye vikwazo na sehemu sahihi za kupita. Unakuta mtu anajua mbele kuna ukuta au mtu nk.
 


Duh...Mungu kweli hawezi kukuacha ukataabika moja kwa moja
 
kuna mzee wa kimasai kule longido ni kipofu na ana ngombe km elfu hivi.ajabu ngombe 1 tuu au ht akizaa asione ndama anaulizia kwamba ngombe flan alizaa mbona mtoto hajaingia zizini
 
Huwa kuna jicho la tatu, kitaalamu linaitwa hypothalamus!
 
Daah hii imenikumbusha kuna siku nilimuona kwa mbali mzee mmoja alikuwa pekeake na zile fimbo nyeupe zinazotumiwa na vipofu alikuwa anatembea anaomba pesa kwa watu anaopishana nao.

Sa bwana mm kumuona anakuja upande wangu nikaamua kutembea polepole kwa kunyata nikijua hatajua[emoji23][emoji23][emoji23]..ebwanaee nilivyomkaribia nikampita shaah daah sikuamiini yule babu aligeukia ule upande wangu akaniongelesha " wew kijana .....". Daah hadi leo sijaelewa yule dingi alikuwa msanii wa mjini au ni kipofu OG.
 
Mkuu wapo vipofu hadi gari wanaendesha. Mungu ni wa ajabu
 
Sikuwahi kujua kazi ya zile sauti nina baba mdogo wangu haone since azaliwe hua anatoa hyo sauti na anatufaham vizuri kweli akiwa pia na ile fimbo yake nyeupe bas anaenda popote bila msaada


Kuna siku kitunguu kilianguka kutoka kwenye ungo alienda kukiokote kama mtu mwenye macho mazima kabisa.
 
Kuna mama kipofu anajua hadi rangi ya mtu kama n mweupe au mweusi kwa kumgusa tu
 
Ndugu yangu binadamu tuna uwezo mkubwa sana kwenye milango ya fahamu ila sehemu kubwa ya uwezo imefifia au kufa kabisa kutokana na kutoitumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…