Binafsi nina kiwango kikubwa cha kuweza kustahimili mambo. Hata kama litakuwa baya au kubwa kiasi gani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah wangeshanipa mda, maana km makavu nilishawahi kuwapa wote sio mama wala baba na sio mara 1. Nafikiri washanizoeaa kuwa mie sio mnafikii.
Na mie nilishawaambia unafiki cna, jambo likinikaa hapa hata km ni nyie siwezi kukaa nalo linitafune ndani kwa ndani, wala nalimwagaa, cna kifua cha kuweka unafikii si uhaini wa nafsi huu. Wee kuwezaa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooh 😂😂😂wewe uko ndani ya game yaani na bado upo foolish age ,nyege kibao .
Mzazi wako ana experience na ni kama kocha kwa nje anajua wapi afanye marekebisho sasa wew leta ujuaji , Ndoa sio kitoto .
Mtu anatumia mavitu ya ajabu we unaona bado yupo sawa kweli🤔
miaka 28 foolish age...na bado upo foolish age
😂😂😂😂Msikilize mama acha ubishi na komwe lako kama tumbo la ashaboko
asante kwa ushauriariana
Pole kwa hili, kinyamwezi wanaita dilemma.
Hata hivyo, ingawa vitabu vinasema waheshimu Baba na Mama, msisitizo ni kuwaheshimu kwenye kutenda righteousness (yanayompendeza Mungu).
Sasa basi, uchaguzi wako ni ima kuacha na kijana uambatane na Mama ama uachane na Mama kisha uambatane na kijana.
Mbili, kumbuka maisha ni kubahatisha maana hakuna aijuaye kesho.
Ushauri wangu, as long as mnapendana na kijana, nyie songeni mbele. Yakiwashinda mtaanza upya. Mapenzi hayalazimishwi wala mtu hachaguliwi wa kuambatana naye. Bible inasema mali na Fedha zinatoka kwa wazazi, mke/mume mwema ni biashara za Mungu hizo.
Kila la heri.
Ngumu sana kukuelewa wewe?Nje ya mada kiaje?Kama ulitaka kutoa salamu ungeweka salamu bila kukosoa
Bdo mdogo maana hata ndoa badomiaka 28 foolish age...
SijazaaUmeishia form 4 hadi sasa una 28 yrs how that possible hujaolewa au ulizaa hapo kabla?
nashukuru wewe umeona hiloAriana utakuwa ni kazuri fulani hivi mama anaona you deserve better. Jamii ina expectations kubwa sana juu ya wasichana hasa wakiwa wazuri, msichana mzuri unatakiwa utembee na akili yako kila sehemu la sivyo jamii itakutoa kwenye reli.
Nina rafiki yangu anafanya kazi UN agency moja Dodoma, ananiambiaga hivi unajua kipindi nimeanza anza tu kazi nilitakaga kumuoa fulani? Huyo fulani ni rafiki yangu mwingine alikuwa pisi ya moto sana, enzi hizo. Nikamuuliza what happened…. Akasema mamaake alikataa, akanimbia kwa maisha yako huwezi muona “huyu” labda nikupe “yule” (dada mtu). Miaka imepita huyu rafiki yangu pisi kali ni single mother wa mtoto mmoja na uzuri wote kwishney anapambana na hali yake tu.
Katika situation yako unaweza kupata matokeo ya aina mbili, either upate mtu “bora” zaidi ya huyo kwa mujibu wa mama yako, au usipate mtu yeyote na ipo siku mama yako atakulaumu. Fanya maamuzi kwa makini ukiwa unajua kuna matokeo mawili yapo mbele yako.