Hapana sikubaliani nawe mkuu. Si kweli. Ina maana hata kama staili yao ya maisha inakiuka maadili ya kitaifa na haki za binadamu tuache tu waendelee kuliharibu taifa?Tuache kufuatilia maisha binafsi ya watu na nguvu zetu tuzielekeze kwenye maendeleo ya familia zetu na nchi yetu...
Sasa wewe umechukua hatua gani? Unadhani kuanzisha thread JF ndio utatuzi wa tatizo?Hapana sikubaliani nawe mkuu. Si kweli. Ina maana hata kama staili yao ya maisha inakiuka maadili ya kitaifa na haki za binadamu tuache tu waendelee kuliharibu taifa?
Hii ni hapa Bongo kweli?Tuache kufuatilia maisha binafsi ya watu na nguvu zetu tuzielekeze kwenye maendeleo ya familia zetu na nchi yetu...
Labda tusubiri waheshimiwa wanaweza kulipeleka nalo likajadiliwe paliamentini...😜Na hili nalo lilikuja na ziara ya Kamala Harris??
Ukisikia mapenzi ya jinsia moja ndiyo haya sasakwa kuwa hawezi kutengeneza familia na mama yake.
Dunia ndio imekua ya ajabuKweli kabisa mkuu. Tumetoka kwenye masuala ya ushoga, tumeanza kutembea na mama zetu. Nchi hii imelaaniwa sio bure.
Ushawahi wakojolea mkuuu toa kisa kidogo maana hao sio nduguMimi mama wa kambo na wajane sijui shemeji sina huruma. Nikupelekesha moto tu.