Kwa vyovyote vile na kwa kiongozi mahiri, muaminifu, shupavu, asiyeyumbishwa, anayestahili kuaminiwa na akaaminika, Mwenyekiti wa chama cha ACT-WAZALENDO Mama Anna Mghwira ambaye ni mteule wa Raisi kwa nafasi ya ukuu wa mkoa, yuko kwenye "big dillema".!
Ama akikache Chama chake na awakache wanaACT na kuwageuka, kwa kuwa kwa sasa atakuwa mjumbe wa kamati ya siasa ya CCM na kada wa CCM mkoa wa Kilimanjaro,
Au
Amwambie Mheshimiwa Rais, asante kwa uteuzi lakini naomba radhi niache niendelee kusimamia na kupigania kile ninachoamini ni sahihi ambacho kwako (CCM)hakipo?
Unless, na inawezekana sana, walishateta na Mkulu kabla ya uteuzi huo na kukubali "liwalo na liwe"! Kwa vyovyote vile hii ni nafasi kwa Mwenyekiti huyu wa ACT
ku-prove ushupavu, msimamo na kuaminika kwake kisiasa na kijamii!.
Nasikia yuko nje ya nchi ngoja tusubiri arudi.