Sifi Leo Platinum Member Joined Mar 30, 2012 Posts 6,267 Reaction score 11,680 Jun 14, 2026 #1 Nauliza tu msaniii mama Amina aliyeibuka kwa Kasi ya 4g, kwenye UTAWALA wa serikali hii yupo wapi?; Je, kapotea kama liquid piere wa UTAWALA wa awamu ya jiwe?
Nauliza tu msaniii mama Amina aliyeibuka kwa Kasi ya 4g, kwenye UTAWALA wa serikali hii yupo wapi?; Je, kapotea kama liquid piere wa UTAWALA wa awamu ya jiwe?
D don-mike JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 739 Reaction score 1,452 Jun 14, 2026 #2 Maisha ni mlima, kuna kupanda na kushuka, jua kuteleza sio kuanguka.
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 3,536 Reaction score 5,137 Jun 14, 2026 #3 Unazungumzia kale Kazezeta ka kike.!
Adolfms JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 942 Reaction score 1,356 Jun 14, 2026 #4 Sifi Leo said: Nauliza tu msaniii mama Amina aliyeibuka kwa Kasi ya 4g, kwenye UTAWALA wa serikali hii yupo wapi?; Je, kapotea kama liquid piere wa UTAWALA wa awamu ya jiwe? Click to expand... Nimekaona juzi kamevaa dela haaaaaaaah Noma sana
Sifi Leo said: Nauliza tu msaniii mama Amina aliyeibuka kwa Kasi ya 4g, kwenye UTAWALA wa serikali hii yupo wapi?; Je, kapotea kama liquid piere wa UTAWALA wa awamu ya jiwe? Click to expand... Nimekaona juzi kamevaa dela haaaaaaaah Noma sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,873 Jun 14, 2026 #5 Upepo... Cc: Mahondaw
G guest-1787677623 Guest Jun 14, 2026 #6 ManchoG said: Unazungumzia kale Kazezeta ka kike.! Click to expand... Pamoja na uzee wangu, nimecheka kama mazuri. ππ
ManchoG said: Unazungumzia kale Kazezeta ka kike.! Click to expand... Pamoja na uzee wangu, nimecheka kama mazuri. ππ
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 3,536 Reaction score 5,137 Jun 14, 2026 #7 Mzee Kikowapi said: Pamoja na uzee wangu, nimecheka kama mazuri. ππ Click to expand... Niepushe na ujeuri wangu ila ndio ukweli laana yetu
Mzee Kikowapi said: Pamoja na uzee wangu, nimecheka kama mazuri. ππ Click to expand... Niepushe na ujeuri wangu ila ndio ukweli laana yetu
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 11,189 Reaction score 30,731 Jun 14, 2026 #8 Wanaibuliwa kupeperusha upepo, ukipita basi wanatulizwa
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 8,092 Reaction score 12,818 Jul 11, 2026 #9 Ana mimba
Isenye JF-Expert Member Joined Dec 22, 2024 Posts 1,380 Reaction score 3,700 Jul 11, 2026 #10 Hamna msanii pale