Mama amfanyia mwanae Unyama

Mama amfanyia mwanae Unyama

eyetyna

Senior Member
Joined
Jun 24, 2011
Posts
148
Reaction score
17
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Ronke Olayinka amekamatwa na Polisi baada ya kumfanyia unyama mtoto wake anayejulikana kwa jina la Abdulahi Taoreed baada ya kumkuta akila kwenye Party flani.

Chanzo: XXL (Cloud Fm)
 
Attachments

  • 1434443002381.jpg
    1434443002381.jpg
    72.6 KB · Views: 1,055
Duu,huyu Mama kweli? au anawazimu akili yake sio nzuri?
 
ni mwanae wa kumzaa? jamani mbona ana roho katili hivi dah
 
Simply because they are women we called them mama bt realy do not behaves as mama
 
Huwa sipendi linapotumiwa neno UNYAMA tutumie neno UKATILI TU sidhani hata WANYAMA huwa wanafanyiana hivyo.

SIMBA KWA SIMBA HAWAUANI, SO HUU NI UKATILI
 
Inaonekana huyu mama hakupata uchungu wakati wa kujifungua
 
Huyu mama macho yake yanasadifu kuwa ni mnyama moyoni
 
Good! nipo upande wa huyu mama hii mitoto ya siku hzi ukiidekeza ndiyo hyo hiyo inayokuja kuwa vibaka! dogo kama huyo kwenye mapart anaenda kufanya nini huko! mama yupo right
 
Ukatiri kama huu umekuwepo muda mrefu ila hapakuwepo na vyombo vya kuufichua kama sasa. Ni tabia ya akina mama wengi Afrika kuwaadhibu watoto bila kujali ukubwa wa kosa na uwezo wa mtoto kufakiri!
 
Katika ulimwengu huu ambapo wanawake wanaoona ufahari kutoa mimba na sio kujifungua...haya si mambo ya kushangaza.......
 
Something wrong in ur head, ww ungekuwa ni mume wa huyo mama sipati picha watoto wangekomaje, duuu, hatari!
 
Something wrong in ur head, ww ungekuwa ni mume wa huyo mama sipati picha watoto wangekomaje, duuu, hatari!
 
Good! nipo upande wa huyu mama hii mitoto ya siku hzi ukiidekeza ndiyo hyo hiyo inayokuja kuwa vibaka! dogo kama huyo kwenye mapart anaenda kufanya nini huko! mama yupo right

Something wrong in ur head, ww ungekuwa ni mume wa huyo mama sipati picha watoto wangekomaje, duuu, hatari!
 
Something wrong in ur head, ww ungekuwa ni mume wa huyo mama sipati picha watoto wangekomaje, duuu, hatari!

Asingeweza kuwa muke yangu angekuwa mama yangu sasa hvi nagonga age 20!
 
Back
Top Bottom