g1986 Member Joined Jul 10, 2016 Posts 60 Reaction score 19 Jul 28, 2016 #1 Miaka 24 ya demokrasia ya vyama vingi nchini.je vimesaidia kuharakisha maendeleo ya wananchi?
K Kolobaa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2014 Posts 1,652 Reaction score 847 Jul 28, 2016 #2 Leo ITV wamechemka kwenye meza kuu hasa huyo jamaa mwenye tumbo kubwa mweupeeeeee sijui wamemtoa wapi ila mada ni nzuri.
Leo ITV wamechemka kwenye meza kuu hasa huyo jamaa mwenye tumbo kubwa mweupeeeeee sijui wamemtoa wapi ila mada ni nzuri.
Y Yussuph mnchanga Member Joined Jul 28, 2016 Posts 30 Reaction score 7 Jul 28, 2016 #3 daahh nimemic sana masako
K Kolobaa JF-Expert Member Joined Dec 15, 2014 Posts 1,652 Reaction score 847 Jul 28, 2016 #4 Yussuph mnchanga said: daahh nimemic sana masako Click to expand... Masako ni kipima joto mkuu,lkn yule dada aliyechukua nafasi hajamuangusha mzee,anajitahidi.
Yussuph mnchanga said: daahh nimemic sana masako Click to expand... Masako ni kipima joto mkuu,lkn yule dada aliyechukua nafasi hajamuangusha mzee,anajitahidi.
g1986 Member Joined Jul 10, 2016 Posts 60 Reaction score 19 Jul 28, 2016 Thread starter #5 Da watu wanaleta ukada katika kuchangia hoja za maendeleo ya nchi