Malumbano ya hoja

Papushikashi

JF-Expert Member
Feb 28, 2016
10,913
13,232
Kiukweli kwa upande wangu nimefuatilia kipindi hiki cha malumbano ya hoja na hawa waendeshaji wa kipindi hiki wamekihimiri tofauti na Akina Kaparatu, napendekeza kipindi hiki kila siku kiwe kinaendeshwa na hawa watu

Nawasilisha
 
Kwakweli hawa akina Spencer wako vizuri maana wanamuacha mzungumzaji anaongea anamaliza sio kama wale wengine
 
Safi sana kipindi kimekuwa kizuri, Spencer na huyu dada wanafanya vizur, watu wanatoa hoja bila kukatishwwa katishwa
 
Wengine tunakamata bukede tv na kampala fm tulioko border hapa mulongo
Tuwekee hiyo video hapa
 
Uje na full stori
Nitakupa briefly tu sheikh,naona wana mtwara walikua studio wakizungumzia changamoto mbalimbali wakutanazo kwenye daily activities zao na wakawa wanaishauri ni nini serikali iwafanyie na ni kitu gani wao kama wanamtwara wafanye ili waweze kijikwamua kiuchumi.
Inaonekana rasilimali gesi imewaamsha sana wazee wa nagwanda sijaona.
 
Samahani wakuu nawezaje kupata video ya hiki kipindi kama kumbukumbu baba yangu ni mmoja wa walioshiriki katika kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom